KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

  • FREEMAN AIKAEL MBOWE

    Votes: 124 18.2%
  • TUNDU ANTIPAS LISSU

    Votes: 559 81.8%

  • Total voters
    683
  • Poll closed .
I'm endorsing Tundu lissu, kwanza ni mtu sahihi kwa aina ya siasa za CCM za mabavu na pia ni straight shooter hivyo anaipa uhai siasa za upinzani. Ana elimu sahihi, ana uzoefu, exposure na track record nzuri ya uongozi atakayefaa kuipeleka chadema mbele.

Madhaifu yanaweza kuwa ni mkali sana hivyo anaweza timua timua watu akiwa mwenyekiti tofauti na Mbowe ambaye ni mwana diplomasia.

Either way ni wakati wa mabadiliko na Mbowe akiwa smart apishe otherwise akilazimisha atakipasua chama alichokijenga kwa jasho na damu.
 
Kwani,hatukuongea mara ya kwanza kwamba kura ni siri?
 
Ifike Mahala Mbowe aone Aibu. Hiyo poll hapo inaamuacha uchi.

Ni muda wa TL.
 
Mbowe awe na aibu ya kawaida tu
Kuna Asal hawapaswi wengine kulamba

Jamaa sio smart maana he should have seen that…… na kama alimaanisha ni chama cha familia…. Basi alipaswa kumuandaa mtu way back
 
Jamaa hakutakiwa kumsagia kunguni mwenyekiti wake namna ile kama anagombania urais na ccm

Hata kama anagombea uenyekiti lakini angeonesha heshima kidogo kwa mkubwa wake wa cheo alichofanya ni kumkosea adabu

Tukija kwenye mada, kura yangu imeharibika mimi ni chama mdude nyagali yule mwamba angefaa kuwa mwenyekiti, CCM wangenyooka zaidi
 
Lisu busara ni sifuri kabisa hana haiba ya UONGOZI huyo ni mwanaharakati mwenye vurugu na manano machafu akijificha kwenye mwamvuli wa kujua SHERIA.
 
Ndani ya Chadema Tundu Lissu hana Mpinzani.

Kwenye General Election Dr Samia hatoboi kwa TL.

Washukuru Rasilimali zilizipo wasingetoboa hata kwa kura 30%
 
Kwani kuna mahali ametukana? Tundu Lissu ni mtu very Honesty
 
Lisu busara ni sifuri kabisa hana haiba ya UONGOZI huyo ni mwanaharakati mwenye vurugu na manano machafu akijificha kwenye mwamvuli wa kujua SHERIA.
Ndio haswaa kiongozi wa CHADEMA anayefaa katika nyakati hizi za utawala katili wa CCM
 
Chadema wana hitaji Uongozi mpya, mawazo mapya, kwahiyo Tundu Lissu anafaa.
 
Lisu busara ni sifuri kabisa hana haiba ya UONGOZI huyo ni mwanaharakati mwenye vurugu na manano machafu akijificha kwenye mwamvuli wa kujua SHERIA.
Hakutakiwa kutumia maneno makali kwa mwenyekiti wake walau angeanza kwa kupongeza jitihada ila badala yake kuanza na kuanza tu ni kukosoa na mambo mengine so poa
 

Mbowe ana ulemavu? Ni vigumu kukaa zaidi ya miaka 20 na kuendelea kukubalika vilevile. Hiyo ni asili ya binadamu.
 
Kwakweli Mwamba umetuvusha Mito na Mabonde, sasa ni wakati sasa wa kumuachia Nyegere Matata.


Tundu Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…