zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
I'm endorsing Tundu lissu, kwanza ni mtu sahihi kwa aina ya siasa za CCM za mabavu na pia ni straight shooter hivyo anaipa uhai siasa za upinzani. Ana elimu sahihi, ana uzoefu, exposure na track record nzuri ya uongozi atakayefaa kuipeleka chadema mbele.
Madhaifu yanaweza kuwa ni mkali sana hivyo anaweza timua timua watu akiwa mwenyekiti tofauti na Mbowe ambaye ni mwana diplomasia.
Either way ni wakati wa mabadiliko na Mbowe akiwa smart apishe otherwise akilazimisha atakipasua chama alichokijenga kwa jasho na damu.