KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

  • FREEMAN AIKAEL MBOWE

    Votes: 124 18.2%
  • TUNDU ANTIPAS LISSU

    Votes: 559 81.8%

  • Total voters
    683
  • Poll closed .
View attachment 3172848
MTIANIA FREEMAN MBOWE
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851
MTIANIA TUNDU LISSU
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••

Happy Uhuru Day!!

Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano Mkali kuwania Uenyekiti wa Taifa baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake Mhe Tundu Lissu,

Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa walau 12 ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali,

Kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii.

Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa Jamii Forum Wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.

Lakini ifahamike pia haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni.

MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.

•••••••••••••
Swala la uongozi waCDM si swala lakuendeshwa kwa hisia za Nje kwa sababu zifuatazo..
1.Kiongozi anaytakiwa kwa sasa ni yule atakaye weza kumuda, Propaga na mipango ya kigaidi wanayofanyiwa CDM. Mbowe ameshindwa kuwalinda wana CDM kwahiyo wanaparuriwa kama kipanga anavyo parula kuku.
2.Anatakiwa kiongozi atakaye weza kukusanya fedha na kuweka misingi mizuri na mahesabu ya fedha za Chama.
3.Anatakiwa mtu ambaye Haingiliki kwa ushawishi wowote wa kifedha au kupewa madaraka.
4.Kiongozi ambaye yupo tayari kama alivykuwa Mbowe kuwa mstari wa mbele wa mapambano.
5.Kiongozi asiye kubali maridhiano yoyote yasiyo ya kisheria au taratibu zinazo ratibiwa kisheria.
6.Kiongozi asiyekurupuka kutoa Maamuzi,nna mahali panapo hitaji maamuzi ya busara kuonyesha busara lakini pale psnapo itaji kutoa maamuzi ya kishenzi pia awe Tayari.
7.Mbowe na Lisu hawapaswi kuwani kiti kimoja kwa waksti mmoja na ikionekana Mbowe bado anahuitaji uwenyekiti kwa busara tu amuachie na yeye sendelee ns umakamu wenyekiti.
 
Mbowe ni kiongozi mzuri tu na ameijenga sana Chadema hii haina ubishi lakini kwa aina ya CCM na serikali yake inavyoendesha siasa za kibabe na kikatili tunamhitaji Lissu aongoze mpambano huu kwa sasa. Tunahitaji siasa za kianaharakati kwa sasa kwani CCM hawataki siasa za kistaarabu na kidemokrasia.
 
Sasa Maoni yako Mkt awe nani kati ya Mbowe na Lissu?
 
Mi sijui kwa nini tundu lisu sijawahi kumuelewa, bado nina amani na mbowe
 
Mbowe ni kiongozi mzuri tu na ameijenga sana Chadema hii haina ubishi lakini kwa aina ya CCM na serikali yake inavyoendesha siasa za kibabe na kikatili tunamhitaji Lissu aongoze mpambano huu kwa sasa. Tunahitaji siasa za kianaharakati kwa sasa kwani CCM hawataki siasa za kistaarabu na kidemokrasia.
Sawa, Pigakura mkuu
 
Ni kweli Mbowe anapaswa kuachilia Ngazi... Ila Wachaga hawawezi kubali.
 
Pigakura moja tu,

Kwanza, Gusa jina la Unayedhani anafaa kuiongoza CHADEMA kwa Sasa,

Pili, Bonyeza sehemu imeandikwa "Cast Vote"

Mwisho unaweza kuacha ujumbe wa kikampeni kwa wachangiaji wanafuata.
CCM mmeshindwa kujadiki nani anawafaa kuwa makam mwenyekit pamoja na ushindi wenu wa lushindo mnajadili viongoz wa chadema.
 
Back
Top Bottom