malenga wetu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 283
- 198
hii tumeishaimaliza na selika 3 ilishinda kwa kula nyingi tu.
Serikali 3,tanganyika huru ije haraka tafadhali
Hili jambo la serikali tatu sidhani kama linahitaji kupigiwa kura. Ni jambo la wazi kwamtu mwenye akili timamu. Tayari tunazo nchi mbili, sasa utakwepaje serikali tatu?
Siyo swala la ushabiki. There is no need to accumulate crisis. Katiba ilishavunjwa kwakuwa na katiba zinazopingana yaani ya Znz na ya Jamhuri ya Tanzania.
Serikali Tatu haziepukiki.