WanaJF Kwa mda mrefu sasa kuelekea utungaji wa katiba mpya kumekuwa na mjadala mkali kuhusu muungano wetu uwe wa muundo upi sasa ningependekeza tuwe na kura ya maoni hapa JF kuhusu muundo wa muungano, upi ni muundo sahihi?
1.Serikali moja.
2. Serikali mbili.
3.Serikali tatu.
N:B ukiweza kutoa sababu za muundo wa muungano unaoutaka itakuwa vizuri zaidi
serekali moja
sababu mpaka leo sioni sababu ya muungano qa zanzibar na tanganyika bcs sijui kwa nini karume na nyerere waliamua hivyo pili kama kuna sababu hizo ni zipi na bado ni validi mpaka sasa? another thing kila kukicha zanzibar wanaona tanganyika inawameza so ni manunguniko kila kukicha mbara hana rights za kuishi zanzibar kama mzanzibari anavyoishi tanganyika so to me muungano hauna maana tena na sidhani hata kiuchumi kama tanzania bara inategemea sana visiwani it is time to let it go