Emanuel Urassa
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 302
- 113
hakutakuwa na sababu ya kuendelea na mchakato wala fikra za katiba ya JMT ila kuuvunja Muungano. Katika hali iliyopo leo Wazanzibar wana kila sababu ya kutoutaka Muungano kwa sababu imeeleweka kuwa serikali ya Muungano ni serikali ya Tanganyika na tumelivaa kweli koti la Muungano japo tunakataa. Tukionyesha nia la kulivua koti hilo sidhani kama hawataukubali Muungano wenye fursa sawa kwa wote.
[h=2]View Poll Results: Muundo upi wa Muungano unafaa?[/h] Voters 341.
[h=3]This poll will close on 22nd August 2014 at 09:39[/h]
- Serikali 1 82 24.05%
- Serikali 2 23 6.74%
- Serikali 3233 68.33%
- Sijui 3 0.88%