Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Muundo upi wa Muungano unafaa?

  • Serikali 1

    Votes: 81 23.3%
  • Serikali 2

    Votes: 22 6.3%
  • Serikali 3

    Votes: 241 69.5%
  • Sijui

    Votes: 3 0.9%

  • Total voters
    347
  • Poll closed .
hakutakuwa na sababu ya kuendelea na mchakato wala fikra za katiba ya JMT ila kuuvunja Muungano. Katika hali iliyopo leo Wazanzibar wana kila sababu ya kutoutaka Muungano kwa sababu imeeleweka kuwa serikali ya Muungano ni serikali ya Tanganyika na tumelivaa kweli koti la Muungano japo tunakataa. Tukionyesha nia la kulivua koti hilo sidhani kama hawataukubali Muungano wenye fursa sawa kwa wote.

Kaka yangu Mkandara asante kwa maoni yako... ndio maana nikauliza ikitokea Zanzibar hawataki muungano hili swala tutalishughulikiaje? Kama Serikali itakwenda kuuliza watu kama wanataka muugano au la inabidii ijiandae kwa jibu lolote inawezekana kabisa wakasema ndio kama ulivyosema hapo juu lakini ikitokea upande mmoja ukasema hatutaki na upande wa pili wanataka je mtafanya nini? ndilo swali langu ili...
 
Last edited by a moderator:
Mwisho wa siku Samwel Siita na kijani wenzake (CCM) wanakula Kodi zetu Bure!
UKAWA habari ya Maandamano mtawapa kichwa na sifa za bure CCM wacheni wala hizo Pesa, huku mkijipanga na hoja murua kwa ajili ya Kampeni ya kushawishi wananchi kukataa Katiba ya CCM wakati wa Kampeni ukifika.

Pili msiwape muda wa Kurekebisha Katiba iliyopo na msishiriki kuifanyia Marekebisho-DEMOKRASIA ITACHUKUA MKONDO WAKE BILA KUTUMIA NGUVU NYINGI.


CC. Tumaini Makene



[h=2]View Poll Results: Muundo upi wa Muungano unafaa?[/h] Voters 341.

[h=3]This poll will close on 22nd August 2014 at 09:39[/h]
  • Serikali 1 82 24.05%

  • Serikali 2 23 6.74%

  • Serikali 3233 68.33%

  • Sijui 3 0.88%
 
Last edited by a moderator:
(Tanganyika ikowapi) jamani kama timeweza kuisahau Tanganyika yetu waowanashindwa nn kwani nn mahana ya Zanzibar tucwe watumwa wa hakili kama Tanganyika tumekubari kwann waowashindwe tunataka selekari moja kama akuna tuvunje muungano,
 
Watu wengi tunalalamika bila kutoa hoja za msingi hivi CCM wamefanya dhambi gani kubwa? kwani ni lazima watu wote tuwe na mawazo sawa kuhusu muundo wa serikali? katika nchi yenye watu zaidi ml.45 sio rahisi wote tukawaza sawa kwanza hao wananchi tunaowasema waliotoa maoni walikua laki tatu kati ya hao wote ml.45 na hata hao laki tatu zaidi ya nusu walitaka serikali mbili sasa sisi wengine tunapata wapi uhalali wakusema ni maoni ya wananchi wengi?
Binafsi nafikiri kabla ya kuwbmulia watu kuwa ndio mfumo wanaoutaka nilifikiri bunge liendelee na kazi yake wananchi ndio wawewaamuzi wa mwisho kwa kile wanacho kitaka kuhusu nchi yao bila kushurtishwa na matakwa ya wanasiasa ambo binafsi naona wametanguliza masilahi yao kuliko masilahi ya wananchi.
Hakuna haja ya kuleta ushabiki wa vyama katika mambo ya msingi kama katiba kwasababu tukikosea sisi hasara hii haitakua kwetu tu ni mpaka kwa watoto wetu. Letc think carefuly
 
Niliwahi toa mapendekezo kuwa katiba ikikamilika wataaamu wa sheria watucchambulie ubora na mapungufu yake kabla hatujapiga kura halafu katika kuipigia katiba kura yafuatayo ningependa yazngatiwe
1 waanze kupiga kura wataalam wa sheria kama vile siku moja kabla
2 wafuatiwe na wataalam wengine kama vile madoctor na maprof
3 wasomi wengine hapa wenye elimu ya chuo kikuu watu wengine wenye uelewa wa katiba
4 walio shirik bungen wasipige kura watuachie tuwapime sis tuliopo nje
nawasilisha hoja
4
 
Niliwahi toa mapendekezo kuwa katiba ikikamilika wataaamu wa sheria watucchambulie ubora na mapungufu yake kabla hatujapiga kura halafu katika kuipigia katiba kura yafuatayo ningependa yazngatiwe
1 waanze kupiga kura wataalam wa sheria kama vile siku moja kabla
2 wafuatiwe na wataalam wengine kama vile madoctor na maprof
3 wasomi wengine hapa wenye elimu ya chuo kikuu watu wengine wenye uelewa wa katiba
4 walio shirik bungen wasipige kura watuachie tuwapime sis tuliopo nje
nawasilisha hoja
 
Serikali tatu,sababu zangu zinafanana sana za sababu zilizotolewa na Mh. Jaji Warioba na tume yake Tundu Lissu,@DR W.P.SLAA na Ukawa wote
 
Last edited by a moderator:
jamani hii serekali ya tatu nasikia ipo ila imejificha niambieni imejificha kwenye nn na koti gani?na kuhusu kupiga kura naunga mkono hoja lakini wajumbe wa bunge la katiba wa nayo haki ya kupiga kura wapige kwani hao pia ni watanzania
 
Back
Top Bottom