Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Muundo upi wa Muungano unafaa?

  • Serikali 1

    Votes: 81 23.3%
  • Serikali 2

    Votes: 22 6.3%
  • Serikali 3

    Votes: 241 69.5%
  • Sijui

    Votes: 3 0.9%

  • Total voters
    347
  • Poll closed .
naona haya mambo ya muungano kwa sasa tumuulize bwana yule wa bao la mkono,kwa kua kichwa kimemtua kwa sasa atakua na jibu mwafka
 
gavana kwa nini unashindwa kumuelewa allah na Mimi mgen ninayekukumbusha Hayo ni maelekezo ya allah [emoji117] [emoji117]kama hayafai piga hizi silaha za maangamizi [emoji117] usitupigie kelele hii weekend dogo [emoji15] [emoji47] [emoji4]
Niko kwenye harakati za namna ya kupata [emoji117]
nimechoka na paya [emoji117] [emoji19]
 


 
gavana wewe msomi banaa sasa unajivunjia hadhi yako kumuona petro imani aliye kuja Jana ktk uisilamu ndio Imanu wewe maamuma...au ni miratul rasul [emoji47] [emoji38] nimekuwekea zana zoote za kuwaangamiza Wabaya wako wakiwemo wakatori [emoji15] chukua hatua wapige na dua mbaya wawe wanamwaga mishuzi ovyo ovyo [emoji38] dua hii [emoji117] umesha isoma [emoji47] [emoji15]
 

Vitabu vyenu hivyo vinawaumbua mchana kweupe. Wakatoliki mumeifilisi nchi
 
Vitabu vyenu hivyo vinawaumbua mchana kweupe. Wakatoliki mumeifilisi nchi
allah yopo likizo? Leo na kesho tukutane k/sambusa mkubwa [emoji117]
Alihamdulilahi [emoji120]
 
Uislamu bado unakandamizwa nchini.ukiangalia BAKWATA ambae ndio mlezi na msimamizi wa dini ya kiislam nchini bado haifanyi kile ambacho waislam weengi wanakitarajia ktk kuisimamia dini yao.badala yake bakwata imegeuka ni gandamizo LA waislam pindi wanaposaka haki zao kidini.ht viongozi nao c wakweli na wanateuana kulingana na matakwa yao binafsi kimaslahi.kwa hiyo uislam nchini utaendelea kukandamizwa na kuwa wa mwisho ktk maendeleo kidini mpk mwisho.
 
Tatu..kwa hali ya kisiasa tuliyonayo! Ila serikali moja ni nzuri zaidi..ila hali ya muungano hairuhusu! Asante
 
Tatu..kwa hali ya kisiasa tuliyonayo! Ila serikali moja ni nzuri zaidi..ila hali ya muungano hairuhusu! Asante

Hali ya muungano hairuhusu kwa sababu huu si Muungano. Huu ni uvamizi uliopewa jina la Muungano.

Tanganyika chini ya Laanatullahi Nyerere iliivamia Zanzibar tarehe 12 Januari 1964 , na kumkamata Waziri Mkuu wake aliyechaguliwa na wananchi aitwaye Muhammed Shamte Mpemba wa Ole na kumfunga kwenye jela za Tanganyika yeye na mawaziri wake kabla ya huo uvamizi uliopewa jina la muungano haujafikiriwa hapo April 1964.
 
Umejaa mahaba ya kutinduliwa mvutu hadi unabadili maudhui ya mafundisho kukidhi haja yako [emoji117] View attachment 952119 kweli ashki ni wazimu [emoji15] [emoji12]


Kwani hao wanaoowana kanisani si mume na mke ??πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›



PADRI HUYO NA MUME WAKE
 
Kitu gani hicho wanachotarajia kukifanya, kwa nini kila mahali imani inatumika kuleta vurugu, huko kwenye chimbuko la imani ni vurugu tupu na mauaji kwa sababu Kuna baadhi wana mawazo kama yako kuwa wanaonewa hebu tuondoleeni shida nchini petu amani Ina gharama zake hatutaki chokochoko zako Kitokombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…