Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania hatujawahi kuwa na serikali moja,sema serikali mbili zinatosha.Narudia tena serikali tatu ni mzigo kwa watanzania tukishindwa serikali moja, bora kugawana fito. Hizi bra bra za serikali tatu. Ni hira za wanasiasa.
Serikali moja ni maoni yangu kama mtanzania, hizi nafasi za kisiasa ni ukoloni mamboleoTanzania hatujawahi kuwa na serikali moja,sema serikali mbili zinatosha.
Ndugu mtanzaniaSerikali moja ni maoni yangu kama mtanzania, hizi nafasi za kisiasa ni ukoloni mamboleo
Kwanini unataka Serikali Moja ?Kama kweli tunataka Muungano. Uwe wa serikali moja tena ya Majimbo.
Ni kwamba watu wanatamaa ya Uongozi. Ila kimsingi hakuna unuhimu wa kua na Serikali 3.Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 inasema kuwa maoni ya kutokuwepo kwa Muungani ni marufuku! Wewe unazungumzia "Nchi Mbili Huru" maana yake hakuna Muungano! Just imagine zile States za Marekani kila State moja iwe na kiti UN ku-represent nchi moja (USA) Sijui kwa nini suala la Muungano linawafanya watu ku-lose focus kiasi hiki!
Na hilo la ku-refer Katiba ya JMT, 1977 ni sawa kwa kuwa ndio inayotumika, au ulitaka nirejee rasimu ya Katiba Mpya? Be serious, plse!
MiMi naongelea kiuchumi zaidi.Ndugu mtanzania
Toa sababu za kitafiti, Kwa nini unasema Serikali Moja ?
Kura ya maoni (referendum) inapitishwa na bunge lenye kuwakilisha wananchi wanopiga kura hiyo, haiitishwi na Putin na kusimamiwa na jeshi lake.
Putin ndiye bingwa wa kunyang'anya ardhi ya jirani kwa kutumia jeshi lake halafu jeshi hilo linapitisha kura ya maoni kwa mtutu wa bunduki na yeye kuhitimisha kwa kusema kuwa walifanya referendum na raia wa eneo hilo kuamua kujiunga urusi. Hebu angalia: Chechnya, Transnistria, Crimea, Donbas, Donestki, Abkhazia, South Osettia. Kote huko Putini aliingiza jeshi kwa mabavu, halafu akadai wananchi walipiga kura ya maoni.Kwanini Putin, na si Trump na jeshi lake!