Halafu ili iweje yaani mwisho wa siku? Haya ni matumizi mabaya ya rasilimali fedha ya bundle.Ikitokea mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania urais ukarudiwa upya na ndugu Humphrey Polepole akahama chama na kuchukua fomu ya kuwania urais akichuanana mma Samia, kura yako ya urais ungempa nani? Piga kura yako hapo chini, ukiwa na akili timamu na bila kushinikizwa na mtu yeyote ili tupate mshindi mapema:
Kwanza hapo hamna wakupigaa kuraIkitokea mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania urais ukarudiwa upya na ndugu Humphrey Polepole akahama chama na kuchukua fomu ya kuwania urais akichuanana mma Samia, kura yako ya urais ungempa nani? Piga kura yako hapo chini, ukiwa na akili timamu na bila kushinikizwa na mtu yeyote ili tupate mshindi mapema:
Wa kwanz kabisa kupig kuraWewe piga kura kwanza maelewano baadaye mkuue
Hivi Polepole na huyo mama wa nyumbani nani bora?Polepole ndiyo awe raisi?Hata kama ni mfano lakini bado kuna ukakasi,labda awe rahisi.
Angalia kura pale juu anaongoza mkekaPolepole ndiyo awe raisi?Hata kama ni mfano lakini bado kuna ukakasi,labda awe rahisi.
Kama anaongoza mkeka sawa siyo aongoze watuAngalia kura pale juu anaongoza mkeka
Hakuna boraHivi Polepole na huyo mama wa nyumbani nani bora?