UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Si afadhali ungeweka kura ya maoni ya Samia vs Mpina, ambao wote wameshachukua fomu za kuwania urais. Kutegemea uteuzi wa CCM urudiwe ni kuota ndoto za arinacha!
Polepole anagombea kupitia chama gani?Ikitokea mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania urais ukarudiwa upya na ndugu Humphrey Polepole akahama chama na kuchukua fomu ya kuwania urais akichuanana mma Samia, kura yako ya urais ungempa nani? Piga kura ukiwa na akili timamu na bila kushinikizwa na mtu yeyote ili tupate mshindi mapema.
Kabisa, mkuu! Kama Chura Kiziwi amekuwa Rais, basi mpumbavu mwingine yeyote anaweza kuwa Rais.nchi hii mtu yeyote anaweza kua Raisi, no need of competition
Kura yangu kwa TALIkitokea mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania urais ukarudiwa upya na ndugu Humphrey Polepole akahama chama na kuchukua fomu ya kuwania urais akichuanana mma Samia, kura yako ya urais ungempa nani? Piga kura ukiwa na akili timamu na bila kushinikizwa na mtu yeyote ili tupate mshindi mapema.
Matokeo mbona siyaoni...au NBS wametuma wasimamizi wa Sheria?... nimepiga. ....
Huyu hata kama nimewekewa kitanzi shingoni siwezi kumpa kura yangu.Kura yangu kwa TAL
Ikitokea mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania urais ukarudiwa upya na ndugu Humphrey Polepole akahama chama na kuchukua fomu ya kuwania urais akichuanana mma Samia, kura yako ya urais ungempa nani? Piga kura ukiwa na akili timamu na bila kushinikizwa na mtu yeyote ili tupate mshindi mapema.
Sasa mbona hujaweka tuvote...ipandishe hapo juuKura za siri na bila shinikizo wala ushawishi wa rushwa ya fedha au vitenge.
Bora mama mara bilioni tena sio kwa pole pole yule kilaza kama jina lake ata kwa basha ako LisuHivi Polepole na huyo mama wa nyumbani nani bora?
Huu uzi unamaisha mafupi.Ikitokea mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania urais ukarudiwa upya na ndugu Humphrey Polepole akahama chama na kuchukua fomu ya kuwania urais akichuanana mma Samia, kura yako ya urais ungempa nani? Piga kura ukiwa na akili timamu na bila kushinikizwa na mtu yeyote ili tupate mshindi mapema.
Na yule jamaa ata kiswahili kuongea hajui na kichwa chake kama madenge vile ..muwe na adabu na izo comparison zenu butu.Wakiwekwa debate mama atagalagazwa vibaya sana aisee!