Sio huyo mkongo man slow slow.Nani hajui kiswahili mkuu? Kwani ujuzi wa kiswahili ndio ujuzi wa uongozi?
Sanduku la kupigia kura liko wapi?Ikitokea mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania urais ukarudiwa upya na ndugu Humphrey Polepole akahama chama na kuchukua fomu ya kuwania urais akichuanana mma Samia, kura yako ya urais ungempa nani? Piga kura ukiwa na akili timamu na bila kushinikizwa na mtu yeyote ili tupate mshindi mapema.
Sio lissu tena saiv ni polepole 😃😃😃😃kweli chadema imekufaaaIkitokea mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania urais ukarudiwa upya na ndugu Humphrey Polepole akahama chama na kuchukua fomu ya kuwania urais akichuanana mma Samia, kura yako ya urais ungempa nani? Piga kura ukiwa na akili timamu na bila kushinikizwa na mtu yeyote ili tupate mshindi mapema.
Sasa kwanini wasiliache,ili aliyee maarufu zaidi amgaragaze asiye kubalika.NBS wamelifuta baada ya kuona mama anazidiwa kura na Polepole.
Ilewa hoja iliyo mezani ama wewe uko uvunguni mwa meza?S
Sio lissu tena saiv ni polepole 😃😃😃😃kweli chadema imekufaaa
Simgombea Wa taifa hilo linaweza kutokea kweli?Mbona tunahofu isiyo na sababu,kama ni hivyo je vipi kuelekea siku ya uchaguzi halisi?Wanaogopa mama atadhalilishwa
Sasa kitatumika kipimo gani,iwapo upo woga hata wa kupima urefu tu.Kweli Labda tu assume polepole anazungumza ukweli..ila kwenye urais hatoshi
Wakiwekwa debate mama atagalagazwa vibaya sana aisee!
Unataka kusemaje..mi sina mtetezi nikitaitishwaKama Samia ameweza kuwa rais Poĺepole anashindwaje?
Polepole hagombei sasa!Mpina hana mvuto zaidi ya Polepole mkuu.