UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Naona umesahau tulikoanzia. Usiwe msahaulifu kiasi hicho!Soma uzi kabla ya ku comment mkuu. Usikurupuke.
Naona umesahau tulikoanzia. Usiwe msahaulifu kiasi hicho!Soma uzi kabla ya ku comment mkuu. Usikurupuke.
Yangu itaharibika!Ikitokea mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania urais ukarudiwa upya na ndugu Humphrey Polepole akahama chama na kuchukua fomu ya kuwania urais akichuanana mama Samia, kura yako ya urais ungempa nani?
Piga kura ukiwa na akili timamu na bila kushinikizwa na mtu yeyote ili tupate mshindi mapema.
Wajumbe hatuli maneno tunataka pesa.Wajumbe tunalipwa sh ngapi kwanza
We kenge usinitoe ufahamElewa somo na uwe unasoma uzi kwanza kabla ya kukomenti. Usiwe kama nyumbu mkuu.