Kura ya maoni ya urais kati ya mama Samia na Humphrey Polepole

Na yule jamaa ata kiswahili kuongea hajui na kichwa chake kama madenge vile ..muwe na adabu na izo comparison zenu butu.
Nani hajui kiswahili mkuu? Kwani ujuzi wa kiswahili ndio ujuzi wa uongozi?
 
Sanduku la kupigia kura liko wapi?
 
S
Sio lissu tena saiv ni polepole 😃😃😃😃kweli chadema imekufaaa
 
S

Sio lissu tena saiv ni polepole 😃😃😃😃kweli chadema imekufaaa
Elewa somo na uwe unasoma uzi kwanza kabla ya kukomenti. Usiwe kama nyumbu mkuu.
 
Ilewa hoja iliyo mezani ama wewe uko uvunguni mwa meza?
Huyo chizi kakurupuka kama panya kutoka huko Lumu.ba hata hajasoma uzi. Mpuuzi mkubwa!
 
Wanaogopa mama atadhalilishwa
Simgombea Wa taifa hilo linaweza kutokea kweli?Mbona tunahofu isiyo na sababu,kama ni hivyo je vipi kuelekea siku ya uchaguzi halisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…