KURA YAKO: Freeman Mbowe, Odero Charles na Tundu Lissu

KURA YAKO: Freeman Mbowe, Odero Charles na Tundu Lissu

Kura yako inaenda kwa nani?

  • Total voters
    210
  • Poll closed .
Yakiwa yamebakia masaa kadhaa uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz) ufanyike, nafasi ya Mwenyekiti ni lipi chaguo lako kama ungekuwa ni mpiga kura kwenye uchaguzi huo?
Hii wanapiga wafuasi wa Lissu ambao sio wapiga kura za kumchangua Mwenyekiti Taifa.
 
Kura au vijihisia..

Kura zinapigwa na wajumbe wa MM hizi bla bla ni hisia tu...

Nafananisha na Kura za mitandaoni kipindi chote cha uchaguzi mkuu Tanzania toka 2010..

Upinzani wamekuwa washindi wa jumla mtandaoni.. kwenye uhalisia hawajawahi fikisha wabunge 120 toka MPD ianze mwaka 1995...

Hizi kimombo zinaitwa Mere wishes
 
Kila nikiona post zako najisikia vibaya kwa jinsi unavyo andika rubbish! Ni hasara kwa familia,mtaa,wilaya, mkoa na hata nchi kwa ujumla.
Itoshe kusema wewe ni juha.
Pole gentleman,
ukweli ndivyo ulivyo, ni mchungu sana, Lazima ujiskie vibaya ikiwa hujazoea kuona ukweli ukisemwa,

hata hivyo,
hakuna namna nyingine, Lazima kusema ukweli kwamba huyu Kibaraka na wakala wa mabwenyenye ya magharibi ya kutetea na kupenyeza ufirauni, ndoa za jinsia moja na utoaji mimba kana kwamba ni haki, hafai kua kiongozi wa chadema Taifa 🐒
 
Hapo kwa Mbowe weka Mbowe na Samia. Wote wakiungana hawamuwezi Kiasi

NB Naombeni clip ya Mbowe akikemea rushwa baada ya mapendano
 
Matokeo ya JF hayajawahi kuakisi uhalisia wa mambo.

Humu hata Mdude anamshinda Mama Dully!😁.
Siku zoote inasemwa upinzani hasa chadema inakubalika mitandaoni tena zaidi jf...kwamba ndiko ina wafuasi wengi zaidi.
Sasa kama chadema inao wafuasi wengi jf kuliko kwingine, ni kwann tusiyakubali matokeo ya kura za maoni za viongozi wao hapa jf kwa kuzingatia zimepigwa na wanachadema wenyewe?!.
Tukubali tukatae, wana chadema walio wengi wanataka Lissu awe mwenyekiti mpya!.
 
Pole gentleman,
ukweli ndivyo ulivyo, ni mchungu sana, Lazima ujiskie vibaya ikiwa hujazoea kuona ukweli ukisemwa,

hata hivyo,
hakuna namna nyingine, Lazima kusema ukweli kwamba huyu Kibaraka na wakala wa mabwenyenye ya magharibi ya kutetea na kupenyeza ufirauni, ndoa za jinsia moja na utoaji mimba kana kwamba ni haki, hafai kua kiongozi wa chadema Taifa 🐒
Badilika usiwe mtu wa hovyo namna hiyo, msema kweli ni yule anaye pinga rushwa,ufisadi,upendeleo na matumizi mabaya ya ofisi na mamlaka hadharani bila kuogopa chochote .

Back
Top Bottom