Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Wamechukua fomu na ni haki yaoAcha kumfananisha Lissu na watu wa hovyo hovyo
Mwenyekiti wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi watetea ufirauni na ndoa za jinsia moja right?πLissu ndio Mwenyekiti
Tarehe 21 wahuni mtapona kichaa!Acha kumfananisha Lissu na watu wa hovyo hovyo
Hii wanapiga wafuasi wa Lissu ambao sio wapiga kura za kumchangua Mwenyekiti Taifa.Yakiwa yamebakia masaa kadhaa uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz) ufanyike, nafasi ya Mwenyekiti ni lipi chaguo lako kama ungekuwa ni mpiga kura kwenye uchaguzi huo?
Kila nikiona post zako najisikia vibaya kwa jinsi unavyo andika rubbish! Ni hasara kwa familia,mtaa,wilaya, mkoa na hata nchi kwa ujumla.Mwenyekiti wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi watetea ufirauni na ndoa za jinsia moja right?π
Ni hovyo kabisaAcha kumfananisha Lissu na watu wa hovyo hovyo
Pole gentleman,Kila nikiona post zako najisikia vibaya kwa jinsi unavyo andika rubbish! Ni hasara kwa familia,mtaa,wilaya, mkoa na hata nchi kwa ujumla.
Itoshe kusema wewe ni juha.
Siku zoote inasemwa upinzani hasa chadema inakubalika mitandaoni tena zaidi jf...kwamba ndiko ina wafuasi wengi zaidi.Matokeo ya JF hayajawahi kuakisi uhalisia wa mambo.
Humu hata Mdude anamshinda Mama Dully!π.
Badilika usiwe mtu wa hovyo namna hiyo, msema kweli ni yule anaye pinga rushwa,ufisadi,upendeleo na matumizi mabaya ya ofisi na mamlaka hadharani bila kuogopa chochote .Pole gentleman,
ukweli ndivyo ulivyo, ni mchungu sana, Lazima ujiskie vibaya ikiwa hujazoea kuona ukweli ukisemwa,
hata hivyo,
hakuna namna nyingine, Lazima kusema ukweli kwamba huyu Kibaraka na wakala wa mabwenyenye ya magharibi ya kutetea na kupenyeza ufirauni, ndoa za jinsia moja na utoaji mimba kana kwamba ni haki, hafai kua kiongozi wa chadema Taifa π
Pole gentleman,