LGE2024 Kura za Maoni za CCM ngumi zafumuka kila Mahali

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
😆😆😆😆 Kweli Bhana!
 
Nyumbani kwa wasiojulikana kwa fukuta moto😅😅
 
Wanawake wapigwe marufuku kwenye mambo ya siasa na kupiga kura ...siasa na kupiga kura ziwe kwa wanaume tu
 
Duh sasa mwenyeviti wa mitaa na vitongoji kuna ajira gani apo mkuu?
Tumia akili zaidi utajua ...kuna mikopo na ufisadi wa kila aina ...kila opportunity ya ufisadi wao ndiyo wanatumika ...kuna mambo zaidi ya 100 ya kupiga pesa hadi udalali ndani yake ...milioni 1 ..2.. unapata za kutosha
 
Yani hadi uongozi wa serikali za mitaa wanadundana🤔
Sana tu. Kuna ulaji pia uko. Pesa huwa zinawfikia. Ndo hao wanakusanya baadhi ya kodi, pesa za taka nk.

Huwa wana mihuri ya serikali wanatembea nayo mfano hao watendaji nk.

Pia hiyo ni ngazi tu huwa wanatumia nafasi hizo kujijenga kisiasa nk

Ndo bongo hii.
 
Penye riziki hapakosagi vurugu
❌MAFUNZO YA KIJESHI KWA UVCCM KABLA UCHAGUZI WA NINI?🚨
Nilishasema nchimbie wanaokuita mstaarabu hawakujui!
Umepeleka vijana kupewa mafunzo ya nini?
Hivi mnafikiri hii nchi mtaitawala kwa mabavu bila ridhaa?
Watanzania ni wapenda amani ila si wajinga
WAMEWACHOKENI!
Taarifa inavuja hukohuko ndani hadi mtakuja kushangaa
Eniwei #TutaelewanaTu
 
Chama cha wahuni ni kile kinacholazimisha kukubalika hata kwa kuiba kura .

Hivi kweli kabisa uchaguzi wa serikali za mitaa Chama kinachokubalika kuanzia ngazi ya msingi kinaweza kuibiwa kura .
Tuna wanasiasa wa upinzani wasengu sano .

Unaibiwaje kura kwenye mtaa wenye wetu 50 mnaofahamiana. ?
Tatizo wapinzani wanaangalia uchaguzi wa wabunge na madiwani na raisa kwa sababu unatajirisha ghafla bila kujua kuwa kule vijijini wapiga kura ni watu wa kawaida na wana muda wa kupiga kura hata kama mvua inanyesha .

Kijijini hata ndani ya chama CCM hawathubutu kuibana kura wakabaki salama.

Magufuli alibadili siasa za kisanii na ujanja ujanja kwa kuwatoa wahuni wote kuanzia CCM na wapinzani wote piga chini na Wananchi wa kawaida wanafurahi sana kwa sababu walikua JPM alikua anatuambia majibu na majipu walijificha kwenye siasa za kihuno na kikumi .

Leo wahuni wakifanya kama Mzalendo Magufuli itakua ni hatari kwa amani ya nchi.

Mungu ameiondoa Magufuli ili Watanzania wajue kutenganisha kati ya mafisadi na wazalendo . Ndio maana wameibuka wafu kama Mwabukusi, Mpina,Mbarikiwa n.k.

Kama kuna wasengu bado hawaoni kuwa Wahuni wanakosesha nchi hii kuwa na mabadiliko basi tutatawaliwa na wahuni na majizi milele kwa sababu wanapandikiza roho ya penda fedha na utajiri wa kijambazi .
Leo hii kila mtu amegeukia kuwa mwizi na ni ufahari kabisa kuiibia serikali na vyama vyote havikemei ufisadi kwa dhati . Watu hawakumuunga Mkono Mpina kwenye wizi wa mabilioni ya fedha za umma badala yake wanaandamana kwenye mambo ya katiba tuu matokeo yake hakuna waandamanaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…