LGE2024 Kura za Maoni za CCM ngumi zafumuka kila Mahali

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Chama cha wahuni licha ya kuiba kura wapo tayari hata kuteka na kuwaua wale wote wanao wakosoa
 
Tumia akili zaidi utajua ...kuna mikopo na ufisadi wa kila aina ...kila opportunity ya ufisadi wao ndiyo wanatumika ...kuna mambo zaidi ya 100 ya kupiga pesa hadi udalali ndani yake ...milioni 1 ..2.. unapata za kutosha
Kumbe wanagombea nafasi za kuibia na sio kutumikia wananchi,🤔
 
Kwamba unadhani wanafikia hatua ya kupigana na kugombana bure bure tu??!
Nilikua sijui wenyeviti wa mtaa na vitongoji wana nufaika vip ,kwa sababu na naonaga hata hawana maendeleo yoyote ya kusema kuna pesa wanaiba 🤔
 
kwani mpo pote yaani Nangunde kule Nachingwea mpo na kule Itabagumba buchosa napo mpo?
 
CCM wanafanya kazi ya kuibiana kura wao kwa wao ndio maana wanapigana kama mbwa.wizi huu utaisha sio muda mrefu.
 
Hakuna polisi?! Wameenda wapi? Likizo? Wao na polisi hakuna tofauti, hivyo wao wenyewe ni polisi pia!!!?
 
Angalia hili guluguja lisilokuwa na akili hata chembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…