Kurasa tatu za Tamko rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu kuruhusu ubatizo kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja


Hata padiri Au katekista akiwa punga zeze utakubaliana na pope?
 
West Africa wengi wanakimbilia Lutheran
 
Natamani kusikia mapadri na maaskofu wakimpinga papa kwa wingi ili ashindwe wa kumfukuza na mwisho wa siku papa ajiuzulu nafasi hiyo kwani imeanza kumpwaya
 
Inabidi uwelewe kwanza wanamaanisha nini ndio uwalaumu.
 
Wiki ya kudickinyuana tope na kunyonyana maQu, aaaaaaaarrrrgh!!????
 
Hii bado inaukakasi ni ngumu kumeza:
1. Natambua kuwa hata transgender na mashoga pia ni binadamu, je kabla ya kusimamia ubatizo wanatakiwa kuungama na kukana Hali yao na kukiri kuwa wamekosea?
2. Mtu anae ishi kama shoga ana uhalali gani wa kwenda kusimamia ndoa takatifu Wakati anavunja amri ya kanisa " shika Sheria takatifu katoliki za ndoa"?
3. Kwenye ubatizo napata shida kuelewa, wanambatiZa wakiZingatia jinsi ya zamani kadri ya uumbaji au hii aliyonayo?
 
Haya maswali ndiyo aliyotoa Askofu Strickland wa Tyler na kumpelekea papa Fransisi kumkasirikia
 
Wasabato nanyi mkae mkao wa kula, mmeanza kulegeza misimamo yenu, siku hizi wasabato imekuwa fasheni kuchonga nywele na ndevu mpaka kwa wachungaji.

Haba na haba hujaza kibaba
Shetani Hana wa kumuogopa hata sisi wakatoliki tuliwacheka waanglikana ila kiko wapi, aisee shetani atagonga kila mlango uwe msabato uwe muislamu uwe yeyote shetani atafika tu mida utasema
 
Achana na dini, njoo kwa Yesu akuokoe. Dini zinabadilika, Yesu habadiliki. Bahati mbaya watu wengi wanapenda zaidi dini na madhehebu yao kuliko wanavyompenda Yesu. Watu wengi wameshikamana mno na dini na madhehebu kiasi kwamba hata uchafu ukiingia humo watajifanya hawauoni. Mimi nasema, achana na upenzi na ushabiki wa dini na dhehebu, njoo kwa Yesu akuokoe na kukupa uzima wake, full stop!
 
Mzee baba Kuna kuumbwa na kuzaliwa.
Pope Ni Atheist yaani asiyetaka kuwepo kwa Mungu ila Cha kushangaza ana impose morality zao bila ya Misingi.

Waza kwanini Hawa justify wanayoyasema kuwa ni Sheria ....wanajua wakisema mfano Mwanaume amuoe mwanaume Ni Sheria ngoma zitakataana .

Usiungane na papa.
Mungu alipoumba wale wawili wa Mwanzo hakurudi kwenye udongo kuumba Tena .....

Kataa Papa kataa Bwanga😂
They use their own desire to create absolute morals.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…