mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Nimeandika kichokozi tu. Siamini kwenye kutenga mashoga. Hawachagui kua hivyo.Mzee baba Kuna kuumbwa na kuzaliwa.
Pope Ni Atheist yaani asiyetaka kuwepo kwa Mungu ila Cha kushangaza ana impose morality zao bila ya Misingi.
Waza kwanini Hawa justify wanayoyasema kuwa ni Sheria ....wanajua wakisema mfano Mwanaume amuoe mwanaume Ni Sheria ngoma zitakataana .
Usiungane na papa.
Mungu alipoumba wale wawili wa Mwanzo hakurudi kwenye udongo kuumba Tena .....
Kataa Papa kataa Bwanga😂
They use their own desire to create absolute morals.
mimi kitambo sana nishakimbia sitaki hata kuwasikiaHakuna ktiu hapa naona Mungu wanayemwamini anaenda na mabadiliko ya nyakati anabadilika. I was born in a Catholic family, sijawahi kukana wala kuhama dhehebu ila niliacha kuamini katika dhehebu langu toka nilipoanza kusoma na kujiuliza amswali ambayo hakuna ambaye aliwahi nipa majibu ya kueleweka.
Huyu papa huyu ... nahisi siku za mbele utatokea mpasuka kama wa anglican
Kama si msiba wa mzee wangu mwaka juzi huenda ningekuwa nimetimiza miaka 9 toka ninehudhuria ibadamimi kitambo sana nishakimbia sitaki hata kuwasikia
haaahaa mimi sikumbuki nlienda mwaka jana nlivunja uteja wa miaka m4Kama si msiba wa mzee wangu mwaka juzi huenda ningekuwa nimetimiza miaka 9 toka ninehudhuria ibada
Kwa hiyo mungu ndiye anayepanga huo ujinga wa mashoga lolNinachokijua ni kwamba viumbe vyooote, ikiwemo mashoga, vimeumbwa na Mungu. Na hua anasema anawapenda sana.
Kingine ninachokijua ni kwamba Mungu ni mjuzi na muweza wa vyote, hivyo ukiona anaruhusu jambo fulani kuwepo, basi ujue ana sababu zake za msingi sana zisizochunguzika. Kazi ya Mungu haina makosa.
Nakubaliana na Pope Francis....
Na ukiona mtu anashabikia jua ni miongoni mwao rejea clip ya Dr Mwakyembe.Mungu anawapenda pia.
Ana uwezo wa kuingilia kati ila anaamua kutokuingilia.Kwa hiyo mungu ndiye anayepanga huo ujinga wa mashoga lol
Mungu akuonge uione haki na uifuate hatakuwa wakwanzaBora niende zangu uislamu.......kwa maana hawa jamaa hawafanyi editing kwenye mambo ya mungu........
BoldedSadaka,
RC wanakhofia kukosa sadaka na ushawishi
Watapokea kila aina ya uchafu as long as sadaka,utajiri na ushawishi wa kisiasa upo guaranteed
Utahukumiwa kutokana na makosa yako mfano wewe mwenyewe hivi mzazi aliyekuzaa hawezi kukuadhibu hata kama unafanya makosa au wewe mwenyewe kama mzazi mwanao akikosea utamwacha tu bila kumuadhibu eti kwa sababu umemzaa?Endeleeni kusali ili mje muende mbinguni,mimi huo upuuzi uitwao dini ni mbali kabisa na mimi.......eti Mungu akuumbe na akuchome moto tena
Ahsante sana,hizi ndizo habari Mimi nazipenda,hawa ndugu zetu wa damu wagalatia hakika nawaombeana sana waitambue Haki na waweze kuifuata....
Achana na dini, njoo kwa Yesu akuokoe. Dini zinabadilika, Yesu habadiliki. Bahati mbaya watu wengi wanapenda zaidi dini na madhehebu yao kuliko wanavyompenda Yesu. Watu wengi wameshikamana mno na dini na madhehebu kiasi kwamba hata uchafu ukiingia humo watajifanya hawauoni. Mimi nasema, achana na upenzi na ushabiki wa dini na dhehebu, njoo kwa Yesu akuokoe na kukupa uzima wake, full stop!
Wewe utakubali mwanaume aliyemuoa mwanaume mwenzie awe baba wa ubatizo wa watoto wako?Sisi sote tunaoishi wakati wa sheria ya Kristo; Kristo Yesu ametufundisha jinsi mambo yalivyo na yanavyotakiwa kuwa. Ametufundisha vilevile tunavyotakiwa kutenda na kuwatendea ndugu zetu. Kwa sababu hii, Kanisa ni kwa ajili ya watu wote: wenye dhambi na wasio na dhambi.
Kwetu sisi, ambao bado tupo duniani, Kanisa ni mahali pa kujitakasa au kuongoka. Ni mahali pa kujifunza ili kubadilika tabia kuwa watu wema, watakatifu - mpango wa Mungu.
Kristo hakuweka Kanisa ili liwe kwa ajili ya watu wema, wasio na dhambi. Kwa kweli lengo la Kanisa ni kuongoa na kutakasa. Kwa hiyo ni kwa ajili ya watu wote.
Kristo aliwaagiza aliowaachia mamlaka kuwafundishe watu wote duniani. Hii maana yake Kanisa linawakaribisha na ni kwa ajili ya watu wote na hali zao zote.
Kanisa kwa lenyewe halitendi dhambi, ni takatifu. Watu ndio wanaotenda dhambi. Mungu kupitia Mwanae wa pekee Yesu Kristo anawaalika watu wote na kipee kabisa wadhambi. Mungu mwenyewe anasema, katika biblia kwamba, "hakuja dunia kwa ajili ya watu wema bali wakosefu. Anaendelea anasema, wenye afya hawahitaji daktari ila wagonjwa".
Tunaweza kutokukubaliana kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutokuwa na elimu ya vitu na uelewa wa mambo.
Kanisa kwa kuwapokea wadhambi halihalalishi uovu. Yesu aliwaeleza wayahudi wa nyakati zake waliotaka kumpiga mawe na kumwua mwanamke mzinzi; "asiye na dhambi na awe kwanza kurusha jiwe juu mwanamke huyu".
Yesu hahubiri dini. Yesu anajihubiri mwenyewe. Yesu anahubiri uzima wa milele unaopatikana ndani yake, full stop.Sasa hapo mgalatia unazidi kupuyanga,waachane na dini wamfuate yesu?kwani yesu anahubiri dini Gani?
Usitafute kichaka Cha kujifichia, mambo yameshaharibika Huko
Hayo ni mawazo yako na hiyo rc yenu, walicho kipigania rc ni hiki wanacho kifanya leo ambacho ni mbali kabisa na ukristo, Zima fegi ukae kwa kutulia
Nashukuru umekiri kuwa RC inapokea uchafu
Huko mbeleni mtaruhusu hadi mapadri mashoga
Hayo ni mawazo yako na hiyo rc yenu, walicho kipigania rc ni hiki wanacho kifanya leo ambacho ni mbali kabisa na ukristo, Zima fegi ukae kwa kutulia