kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Najua wengi watabisha tu kutokana na ushabiki wao juu ya imani fulani
Ila mimi ninasema ninachokiamini
According to the bible
Kurudi kwa israel ni mpango wa Mungu
Na hakuna wakuzuia sio mrusi,mchina,mkorea, au nani mpango unabii ukamilike
Kumbukumbu la Torati 30:3-5
[3]ndipo BWANA, Mungu wako, atakapougeuza utumwa wako, naye atakuhurumia, tena atarejea na kukukusanya kutoka mataifa yote, huko alikokutawanyia BWANA, Mungu wako.
[4]Watu wako waliotawanyika wakiwako katika ncha za mbingu za mwisho, kutoka huko atakukusanya BWANA, Mungu wako; kutoka huko atakutwaa;
[5]atakuleta BWANA, Mungu wako, uingie nchi waliyomiliki baba zako, nawe utaimiliki; naye atakutendea mema, na kukufanya uwe watu wengi kuliko baba zako.