Kurudi kwa Israel pale Palestina ni mpango wa Mungu

Sasa ndugu!kama israel wametawanyika katika mataifa mbali mbali Duniani!hao wanaopigana na wenye nguvu ni kina nani!!?

Kama israel walimkataa masihi na Mungu akaruhusu wapigwe Hadi kubomolewa Kwa hekalu la Suleiman na wakatawanyika Duniani na kuwa watumwa katika mataifa ya ugenini bas israel ni jamii ya watu weusi ambao ndio wanahistoria ya kuwa watumwa Duniani kote!!

Hao wazungu waliopo hapo utaaminije ni waisrael hao!!!?coz nguvu ya kupigana wametoa wapi !?kama sio Taifa feki hilo na waisrael

Story za kusadikika na za kutunga kwamba miaka 3000 iliyopita, toka nisikie story za Samson kaua simba, sijui ni porini? hivi pale middle east na lile jangwa simba anaweza kuishi?
mambo mengine tuwe tunatafakari kwa akili za kawaida tu...
Kwa hiyo middle east hakuwezi kuishi simba kabla ya kujiuliza swali lako ilo unatakiwa pia ujiulize je kipindi ucho ilo Jangwa lilikuwepo ?
 
China ,USA,Canada,France zilitawaliwa na wakoloni mbona Zina mchango katika technology ya ulimwengu
Huna hoja kijana

Kwahiyo China, USA, Canada, France nao ni Jews.

Africa ilitawaliwa juzijuzi tu hapa, na aina ya ukoloni uliofanyika Africa haukuwa kama hizo nchi.
 
Najua wengi watabisha tu kutokana na ushabiki wao juu ya imani fulani
Ila mimi ninasema ninachokiamini
According to the bible
Kurudi kwa israel ni mpango wa Mungu
Na hakuna wakuzuia sio mrusi,mchina,mkorea, au nani mpango unabii ukamilike

Kumbukumbu la Torati 30:3-5
[3]ndipo BWANA, Mungu wako, atakapougeuza utumwa wako, naye atakuhurumia, tena atarejea na kukukusanya kutoka mataifa yote, huko alikokutawanyia BWANA, Mungu wako.
[4]Watu wako waliotawanyika wakiwako katika ncha za mbingu za mwisho, kutoka huko atakukusanya BWANA, Mungu wako; kutoka huko atakutwaa;
[5]atakuleta BWANA, Mungu wako, uingie nchi waliyomiliki baba zako, nawe utaimiliki; naye atakutendea mema, na kukufanya uwe watu wengi kuliko baba zako.
Hapana ulikuwa mpango Britain.
 
Sasa ndugu!kama israel wametawanyika katika mataifa mbali mbali Duniani!hao wanaopigana na wenye nguvu ni kina nani!!?

Kama israel walimkataa masihi na Mungu akaruhusu wapigwe Hadi kubomolewa Kwa hekalu la Suleiman na wakatawanyika Duniani na kuwa watumwa katika mataifa ya ugenini bas israel ni jamii ya watu weusi ambao ndio wanahistoria ya kuwa watumwa Duniani kote!!

Hao wazungu waliopo hapo utaaminije ni waisrael hao!!!?coz nguvu ya kupigana wametoa wapi !?kama sio Taifa feki hilo na waisrael feki!!?
Soma andiko ilo Mungu Aliwapa promis ya kuwakusanya tena na kuwa pamoja kwa hiyo wanao pigana ni israel ambao walikusanywa
 
Kasome kijana mdogo kabla ya ku comments chochote umu
Hivi world Bank ina milikiwa na Akina nani
Hawa wote Akina China na wengine wananufaika na world systems ambayo iliwekwa na hao hao Wayahudi kijana kuwa na akili basi
Unaaminije hizo familiar za kina Rochtsnild sijui ndio Wana Israel!!?Kwa DNA test ipi!!?

Kihistoria waebrania walifanana sana na wamisri na Wana wa ham ukisoma kitabu Cha mwanzo,sasa Wana wa ham ni weusi Kwa rangi coz Neno Ham maana yake iliyoungua nyeusi Sasa hai wazungu hapo Israel ya leo walivyo weupe hivyo wanakuaje waisrael!!?

Halafu hao waisrael wamerudi lini utumwani na kujiimarisha na kuwa superpowers wa kuipiga Palestine hivyo coz walipigwa na kuchukuliwa utumwani baada ya kumkataa masihi yesu kristo!!

Wamerudi lini!!?

Kama sio janja janja ya wazungu wenye uchu baada ya vita vya pili vya Dunia kulitambulisha Israel kama taifa takatifu Kwa maslahi yao wanayoyajua!
 
Najua ni chuki tu let's us the last
 
Soma andiko ilo Mungu Aliwapa promis ya kuwakusanya tena na kuwa pamoja kwa hiyo wanao pigana ni israel ambao walikusanywa
Sawa lakini hao waliopo Sasa Wana DNA Gani ya kuwatambulisha kuwa ni wao!!?

Ina maana kama tungerudi sisi watz pale na kukinikisha tungekua waisrael kisa biblia imesema bila kujali nasaba za taifa hilo!!?
 
Najua wengi watabisha tu kutokana na ushabiki wao juu ya imani fulani
Ila mimi ninasema ninachokiamini
According to the bible
Kurudi kwa israel ni mpango wa Mungu
Na hakuna wakuzuia sio mrusi,mchina,mkorea, au nani mpango unabii ukamilike

Kumbukumbu la Torati 30:3-5
[3]ndipo BWANA, Mungu wako, atakapougeuza utumwa wako, naye atakuhurumia, tena atarejea na kukukusanya kutoka mataifa yote, huko alikokutawanyia BWANA, Mungu wako.
[4]Watu wako waliotawanyika wakiwako katika ncha za mbingu za mwisho, kutoka huko atakukusanya BWANA, Mungu wako; kutoka huko atakutwaa;
[5]atakuleta BWANA, Mungu wako, uingie nchi waliyomiliki baba zako, nawe utaimiliki; naye atakutendea mema, na kukufanya uwe watu wengi kuliko baba zako.
Mungu yupi? Watu mlio na nyashi ndogo mnawaza kwa kutumia utumbo mwembamba!
 
Kwa hiyo middle east hakuwezi kuishi simba kabla ya kujiuliza swali lako ilo unatakiwa pia ujiulize je kipindi ucho ilo Jangwa lilikuwepo ?
Mmeanza story nyingine..
Kama mto nile ulikuwepo miaka na miaka ya mitume wanaosemwa na hadi leo huo mto upo, inakuwaje zamani kulikuwapo na misitu huko ME halafu leo ni jangwa...?

Hakuna simba ange survive mazingira yale, labda kama simba wa kufugwa...
 
Hawa jamaa wanazidi kuonyesha jinsi dini zinavyo haribu akili.
 
Najua wengi watabisha tu kutokana na ushabiki wao juu ya imani fulani
Ila mimi ninasema ninachokiamini
According to the bible
Kurudi kwa israel ni mpango wa Mungu
Na hakuna wakuzuia sio mrusi,mchina,mkorea, au nani mpango unabii ukamilike

Kumbukumbu la Torati 30:3-5

[3]ndipo BWANA, Mungu wako, atakapougeuza utumwa wako, naye atakuhurumia, tena atarejea na kukukusanya kutoka mataifa yote, huko alikokutawanyia BWANA, Mungu wako.

[4]Watu wako waliotawanyika wakiwako katika ncha za mbingu za mwisho, kutoka huko atakukusanya BWANA, Mungu wako; kutoka huko atakutwaa;

[5]atakuleta BWANA, Mungu wako, uingie nchi waliyomiliki baba zako, nawe utaimiliki; naye atakutendea mema, na kukufanya uwe watu wengi kuliko baba zako.

Kumbe hakuna jambo linalotokea bila kuwa mpango wa Mungu?

Kwa hiyo akija mtu kukupasa tulia tu mkuu, huo ni mpango wa Mungu.

Kazi kweli kweli.
 
Kuwa na wayahudi katika nchi yenu ni baraka kubwa japokuwa wanakuwa na mambo mengi ya kihuni ila ni watu wazuri kwa uchumi wa nchi
Sana, ila Mwl alijenga umoja ila uchumi ni zero kabisa tena iko siku inabidi asutwe na sera zake mara za ujamaa yaani alifungamana na mataifa ya kijinga kijinga kama palestine mara Iran etc ujinga ujinga tu.
 
Story za kusadikika na za kutunga kwamba miaka 3000 iliyopita, toka nisikie story za Samson kaua simba, sijui ni porini? hivi pale middle east na lile jangwa simba anaweza kuishi?
mambo mengine tuwe tunatafakari kwa akili za kawaida tu...
Kwani miaka 3000 iliyopita middle east yote ilikuwa jangwa? Au ndio hatutaki kujua jangwa linatokeaje?

Maeneo mengi ya mjini tunayoishi Tanzania yalikuwa karibu kabisa na Mbuga za wanyama.
 
Kuwa na wayahudi katika nchi yenu ni baraka kubwa japokuwa wanakuwa na mambo mengi ya kihuni ila ni watu wazuri kwa uchumi wa nchi
China, Japan, Korea ,India ni wayahudi ndio wamekuza uchumi ? Ujerimani ilipigwa na mataifa kibao ila baada ya vita wamejenga nchi yao na leo ni taifa tajiri zaidi kuliko hata Islael . Uchumi wa ujerumani ni wayahudi ndio wameujenga ?
Hizo imani zinafanya kazi wapi ? Islael haipo top ten richest country.
Nitakuelewa kusema wayahudi hujituma sana kwa kuwa hawana wanapomiliki hapa duniani sijui walitoka wapi wakimbizi hao ?

Hapa Afrika anaeongoza kwa utajri kwa miaka mingi ni Dangote kwani waislael hawapo ?
Hapa Tanzania tajiri no 1 ni muhindi je waislael hawapo ?
Hi wahindi kuna mahala walihamia halafu hawana matajiri ? Mbona hamuwapongezi wahindi bali wayahudi tu. Mnafungwa na imani za kidini si uhalisia.
Uhalisia ni kwamba watu wa ASIA wengi ni watu wanaoweza kutengeneza utajiri popote bila kujali ni mchina, mrusi, muhindi, mkorea, mwarabu myahudi nk
Tatizo bado lipo kwa sisi watu weusi japo siku hizi hata sisi tunajitahidi japo ubagjzi ni mkubwa.
Wote tuna fursa sawa duniani, tuzitumie badala ya kusifia wengine.
Kuna waafrika wameisha achana na fikra za kusifu wengine bali wao ndio wanasifiwa.
 
China ,USA,Canada,France zilitawaliwa na wakoloni mbona Zina mchango katika technology ya ulimwengu
Huna hoja kijana
Ukiondoa china. Hao wengine si wajitawala wenyewe. Sawa na Muhehe kumtawala mbena kuna ukoloni hapo ? Kama red indian ndio wangebaki USA hapo ungekuwa na hoja. Canada yamejaa mabwanyenye ya kzungu halafu yanasems yalitawaliwa na wazungu, huo si uongo.
 
Umetolea reference kwenye bible ambacho ni kitabu unachoamini wewe, Kesho wahindu kupitia kitabu chao wanaweza kusema Pakistan ni mali yao.

Siku waAfrica wakiwa na kitabu chao wanaweza kusema Uingereza ni mali yao Kwa mujibu wa African holy book yao.
Kwahiyo kesho akiibuka Mchina akasema Tanzania ni mali ya China kwa mujibu wa Chinese holy book tuseme hewala.
Hata sisi wasukuma tumeshaanza kutengeneza kitabu chetu kitakatifu kinasema Sudani yote ni mali yetu. Mungu wa babu yetu mwana marundi atakuja aturudishe kwetu sudan muda si mrefu
 
Back
Top Bottom