and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Unielezee jangwa linatokeaje..Kwani miaka 3000 iliyopita middle east yote ilikuwa jangwa? Au ndio hatutaki kujua jangwa linatokeaje?
Maeneo mengi ya mjini tunayoishi Tanzania yalikuwa karibu kabisa na Mbuga za wanyama.