Kurudi kwa Israel pale Palestina ni mpango wa Mungu


Story za kusadikika na za kutunga kwamba miaka 3000 iliyopita, toka nisikie story za Samson kaua simba, sijui ni porini? hivi pale middle east na lile jangwa simba anaweza kuishi?
mambo mengine tuwe tunatafakari kwa akili za kawaida tu...
Kwa hiyo middle east hakuwezi kuishi simba kabla ya kujiuliza swali lako ilo unatakiwa pia ujiulize je kipindi ucho ilo Jangwa lilikuwepo ?
 
China ,USA,Canada,France zilitawaliwa na wakoloni mbona Zina mchango katika technology ya ulimwengu
Huna hoja kijana

Kwahiyo China, USA, Canada, France nao ni Jews.

Africa ilitawaliwa juzijuzi tu hapa, na aina ya ukoloni uliofanyika Africa haukuwa kama hizo nchi.
 
Hapana ulikuwa mpango Britain.
 
Soma andiko ilo Mungu Aliwapa promis ya kuwakusanya tena na kuwa pamoja kwa hiyo wanao pigana ni israel ambao walikusanywa
 
Kasome kijana mdogo kabla ya ku comments chochote umu
Hivi world Bank ina milikiwa na Akina nani
Hawa wote Akina China na wengine wananufaika na world systems ambayo iliwekwa na hao hao Wayahudi kijana kuwa na akili basi
Unaaminije hizo familiar za kina Rochtsnild sijui ndio Wana Israel!!?Kwa DNA test ipi!!?

Kihistoria waebrania walifanana sana na wamisri na Wana wa ham ukisoma kitabu Cha mwanzo,sasa Wana wa ham ni weusi Kwa rangi coz Neno Ham maana yake iliyoungua nyeusi Sasa hai wazungu hapo Israel ya leo walivyo weupe hivyo wanakuaje waisrael!!?

Halafu hao waisrael wamerudi lini utumwani na kujiimarisha na kuwa superpowers wa kuipiga Palestine hivyo coz walipigwa na kuchukuliwa utumwani baada ya kumkataa masihi yesu kristo!!

Wamerudi lini!!?

Kama sio janja janja ya wazungu wenye uchu baada ya vita vya pili vya Dunia kulitambulisha Israel kama taifa takatifu Kwa maslahi yao wanayoyajua!
 
Najua ni chuki tu let's us the last
 
Soma andiko ilo Mungu Aliwapa promis ya kuwakusanya tena na kuwa pamoja kwa hiyo wanao pigana ni israel ambao walikusanywa
Sawa lakini hao waliopo Sasa Wana DNA Gani ya kuwatambulisha kuwa ni wao!!?

Ina maana kama tungerudi sisi watz pale na kukinikisha tungekua waisrael kisa biblia imesema bila kujali nasaba za taifa hilo!!?
 
Mungu yupi? Watu mlio na nyashi ndogo mnawaza kwa kutumia utumbo mwembamba!
 
Kwa hiyo middle east hakuwezi kuishi simba kabla ya kujiuliza swali lako ilo unatakiwa pia ujiulize je kipindi ucho ilo Jangwa lilikuwepo ?
Mmeanza story nyingine..
Kama mto nile ulikuwepo miaka na miaka ya mitume wanaosemwa na hadi leo huo mto upo, inakuwaje zamani kulikuwapo na misitu huko ME halafu leo ni jangwa...?

Hakuna simba ange survive mazingira yale, labda kama simba wa kufugwa...
 
Hawa jamaa wanazidi kuonyesha jinsi dini zinavyo haribu akili.
 

Kumbe hakuna jambo linalotokea bila kuwa mpango wa Mungu?

Kwa hiyo akija mtu kukupasa tulia tu mkuu, huo ni mpango wa Mungu.

Kazi kweli kweli.
 
Kuwa na wayahudi katika nchi yenu ni baraka kubwa japokuwa wanakuwa na mambo mengi ya kihuni ila ni watu wazuri kwa uchumi wa nchi
Sana, ila Mwl alijenga umoja ila uchumi ni zero kabisa tena iko siku inabidi asutwe na sera zake mara za ujamaa yaani alifungamana na mataifa ya kijinga kijinga kama palestine mara Iran etc ujinga ujinga tu.
 
Story za kusadikika na za kutunga kwamba miaka 3000 iliyopita, toka nisikie story za Samson kaua simba, sijui ni porini? hivi pale middle east na lile jangwa simba anaweza kuishi?
mambo mengine tuwe tunatafakari kwa akili za kawaida tu...
Kwani miaka 3000 iliyopita middle east yote ilikuwa jangwa? Au ndio hatutaki kujua jangwa linatokeaje?

Maeneo mengi ya mjini tunayoishi Tanzania yalikuwa karibu kabisa na Mbuga za wanyama.
 
Kuwa na wayahudi katika nchi yenu ni baraka kubwa japokuwa wanakuwa na mambo mengi ya kihuni ila ni watu wazuri kwa uchumi wa nchi
China, Japan, Korea ,India ni wayahudi ndio wamekuza uchumi ? Ujerimani ilipigwa na mataifa kibao ila baada ya vita wamejenga nchi yao na leo ni taifa tajiri zaidi kuliko hata Islael . Uchumi wa ujerumani ni wayahudi ndio wameujenga ?
Hizo imani zinafanya kazi wapi ? Islael haipo top ten richest country.
Nitakuelewa kusema wayahudi hujituma sana kwa kuwa hawana wanapomiliki hapa duniani sijui walitoka wapi wakimbizi hao ?

Hapa Afrika anaeongoza kwa utajri kwa miaka mingi ni Dangote kwani waislael hawapo ?
Hapa Tanzania tajiri no 1 ni muhindi je waislael hawapo ?
Hi wahindi kuna mahala walihamia halafu hawana matajiri ? Mbona hamuwapongezi wahindi bali wayahudi tu. Mnafungwa na imani za kidini si uhalisia.
Uhalisia ni kwamba watu wa ASIA wengi ni watu wanaoweza kutengeneza utajiri popote bila kujali ni mchina, mrusi, muhindi, mkorea, mwarabu myahudi nk
Tatizo bado lipo kwa sisi watu weusi japo siku hizi hata sisi tunajitahidi japo ubagjzi ni mkubwa.
Wote tuna fursa sawa duniani, tuzitumie badala ya kusifia wengine.
Kuna waafrika wameisha achana na fikra za kusifu wengine bali wao ndio wanasifiwa.
 
China ,USA,Canada,France zilitawaliwa na wakoloni mbona Zina mchango katika technology ya ulimwengu
Huna hoja kijana
Ukiondoa china. Hao wengine si wajitawala wenyewe. Sawa na Muhehe kumtawala mbena kuna ukoloni hapo ? Kama red indian ndio wangebaki USA hapo ungekuwa na hoja. Canada yamejaa mabwanyenye ya kzungu halafu yanasems yalitawaliwa na wazungu, huo si uongo.
 
Hata sisi wasukuma tumeshaanza kutengeneza kitabu chetu kitakatifu kinasema Sudani yote ni mali yetu. Mungu wa babu yetu mwana marundi atakuja aturudishe kwetu sudan muda si mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…