Kurudi Kwa Mifuko ya Plastic: Rais Samia ni Dhaifu?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Katika jiji la Dodoma (makao makuu ya chama na serikali) mifuko ya plastic imerejea kwa kasi kwelikweli, ukienda sokoni, ukanunua matunda unawekewa kwenye mfuko wa plastic kama ile mifuko ya zamani, tofauti ni kwamba mifuko hii inaonesha haitengenezwi hapa ila wana i import... Ndiyo kusema kuwa tunaongozwa na kiumbe dhaifu?
 
Mbona Imejaa mitaani

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Sasa wewe unataka watu tuwekee nini vitu vyetu acha roho mbaya
 
Back
Top Bottom