Kurudi kwa UDA (daladala) hii maana yake nini?

JK is a civilized guy.
Alikataa kabisa kuwavunjia watu nyumba zao bila fidia, hakupenda watu waishi Kama shetani. Enzi zake bando zakumwaga.
Hili la Bando litapita tu, ni tatizo la kutengenezwa naamini
 
🤣🤣🤣☝️
 
Naongea na Riziwani, weee Riziwani Ongea na mshua
 
Na hata hiyo zamani yalikuepo ila yalikua yamefichwa fichwa huko gereji hata utendaji kazi wake haukua OPEN kama haya ya ssa yanavyojiachia
Mbagala kwenda Ubungo yalikuwepo muda wote...
 
Hili la Bando litapita tu,ni tatizo lakutengenezwa naamini

Huko Kimara vunjeni hizo nyumba na hakuna fidia, Mwanza msiwavunjie hao ndio wapiga kura wangu.

Mtetezi wa wanyonge bana
 
sasa hivi imeongezeka imekua 14,tunamalizia mi 4 iliyobaki halafu tunapiga 10 mingine,msipohama Nchi nyie vidume

Kwani aliyesema hapa mjini Dar atakayebaki ni kidume yuko wapi mkuu?
 
Ila Mungu ana njia zake za kuwakomboa watu wake kutoka kwa Farao, safari ya kutoka misri to kanani naiona inaanza taratibu tukiwa na musa
 
Acha mama arudishe uchumi kwa raia wake..
 
Ukitaka taarifa sahihi za hivyo vyuma, fanya pupa zako udondoshe hata side mirror yake, kuna jamaa anakujaga na pikipiki kupiga picha tu, za chin chin ni zipo chini ya jeshi
 
Mi ni mpandaji mzuri sana wa daladala hasa ruti za Mbagala na Gongo la mboto na mahali napofanyia kazi ni rahisi sana kuona magari yanayopita barabara ya Bagamoyo, ni muda mrefu sana sijaona magari ya UDA hivyo ukiniambia umeyaona sasa ni kweli yatakuwa yamerejea, lakini mtu akiniambia yaoikuwepo yanaendelea na kazi hilo nakataa nayajua magari ya UDA kwa muda mrefu na rangi zake sijayaona barabarani for 2-3 years
 
Baba kaacha Familia mikononi mwa Mama,tunaamini Mama Atatufikisha Kanaani
Hahahahaaaaa tumekuwa watoto wa mama sasa kupelekeshana mpera mpera basi tena.Ni kula bata mwanzo mwenga.Nakupenda sana mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…