Vyovyote ,sasa siwavipa Uhuru..Kwa kuvibaka.
Amandla...
Unaangalia shilingi upande mmojaFikiria jamii ambayo ni halali kuoa binti mwenye miaka 13 lakini inashangaa wa miaka 14 kupata mimba.
Fikiria jamii ambayo inaamini mimba zote ni kutokana na uhuni wa mabinti zao.
Fikiria jamii ambayo inaamini kuwa mimba inaambukizwa.
Fikiria jamii ambayo haitaki kuwapa watoto wake elimu ya miili ( ambayo mabibi na mababu zao walikuwa wakiitoa) halafu wanashangaa wanapopata mimba.
Fikiria jamii yenye tatizo kubwa la mimba za utotoni ( sio kwa wanafunzi peke yao) lakini haitaki kuwapa contraceptives.
Fikiria jamii inayoamini watoto wote wanaofukuzwa shule ni wavuta bangi na wanastahili kufukuzwa.
Fikiria jamii inayoona heri kukosa mkopo utaowasaidia kujenga shule kwa ajili ya watoto kuliko kuruhusu binti aliyepata uja uzito kuendelea na masomo.
Baada ya kufikiria hivyo jiulize tena kwa nini nchi hiyo bado ina umasikini wa kutupwa miaka 60 baada ya kupata uhuru kutoka kwa mabeberu.
Amandla...
Kwa hiyo ulitaka mabinti wasipate elimu? Ukimsomesha mwanamke umekomboa taifa
Kopo tupu jalalaniKwa hiyo ulitaka mabinti wasipate elimu? Ukimsomesha mwanamke umekomboa taifa
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa...
Kwani wanaorudishwa shuleni ni wakoloni au watoto wetu wenyewe?Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shul...
Sasa kwanini wanaowapa mimba wanafungwa miaka 30? Wangefungwa binti akijifungua anatolewa jela akalee mtoto ili binti arudi shule.We Kada binti muhuni asiye na maadili Katu hawezi dungwa mimba.
Mbona vyuoni wanasoma wazazi na Wana wajukuu kabisa,elimu ni haki ya wote
Lengo ni kupunguza rate ya ufataki,isipofanywa hivyo watu awatoogopa kuwamimba wanafunzi.Sasa kwanini wanaowapa mimba wanafungwa miaka 30? Wangefungwa binti akijifungua anatolewa jela akalee mtoto ili binti arudi shule.
Kwani wanaorudishwa shuleni ni wakoloni au watoto wetu wenyewe?
Waafrika tunaongoza kwa roho mbaya,yaani hadi mzungu anatufundisha kuwa na upendo kwa watoto wetu!
Mngekuwa na hayo maadili msingekuwa na nyumba ndogo,hopeless kabisa na unafiki wa kuzuia mbu na kuruhusu ngamia!
Sasa naelewa kwa nini shetani anachorwa kwa rangi nyeusi!
Na wewe unaangalia pande mbili?Unaangalia shilingi upande mmoja
Utavinyoosha kweli wakati wewe unatumikia kifungo cha miaka 30. Na wote tunajua yanayoendelea jela kwa vijana kama wewe.Vyovyote ,sasa siwavipa Uhuru..
Na vitanyooshwa !!!
Fikiria jamii ambayo ni halali kuoa binti mwenye miaka 13 lakini inashangaa wa miaka 14 kupata mimba.
Fikiria jamii ambayo inaamini mimba zote ni kutokana na uhuni wa mabinti zao...
Umeichukulia issue Kwa mtazamo finyu sana aiseeFikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule
Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?
Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?