Hao washenzi ndio wameharibu watoto wa kike ulaya wamekuwa na viburi hata kuolewa hawawezi sababu ya kuwakumbatia kwenye kila upumbavu wanaoufanya!Mabeberu wamefanya kazi nzuri sana katika kuibana serikali.MaCCM yanaruhusu hawa malaika kurudi shule kishingo upande huku yakiwa yamenuna😁😁😁
Ninyi serikali haramu nuneni, kasirikeni, fokeni, lakini mtoto wa kike lazima apate elimu bila ya ubaguzi wowote ule🤗🤗🤗
View attachment 2025957
Nakubaliana nawewe Mkuu..Hapana ndugu tudeal na wakubwa wenzetu(wake zetu). Hawa watoto ni wa kuwahurumia tu. Akili zao zipo juu juu wanahitaji kuongozwa katika njia njema ya kuwavusha maishani. Nipo nawafundisha kwenye kijiwe changu huku nawaona jinsi wanavyohitaji watu wema kwa ajili ya kuwajengea msingi bora wa maisha yao. Binafsi nimeapa kuwa na mchango chanya maishani mwao.
Kabisa. Wenye kujali maisha yao tuna kazi ya ziada kwa kweli. Mungu azidi kututia nguvu.Nakubaliana nawewe Mkuu..
Hawa waschana wadogo, wanapeana mimba na Wanafunzi wenzao .
Mabazazi yasokua na akili pia huchangia.
Hivi unadhani kipimo cha zinaa ni mimba peke yake? Unadhani hao ambao hawapati mimba hawatumii njia mbadala kujamiana na boifrendi zao? Unadhani huko kulawitiana watoto wa kuume na mabinti kusagana na kujiingiza vitu vya ajabu vimeanza leo? Hayo mambo yako miaka yote.Shida "alternatives' ,wale wanaosoma shule za serikali wengi ni watoto wa sisi walala hoi,ni wepesi kuiga kujaribu ya kusikia,rahisi kushawishika kwa vizawadi,nakumbuka enzi hizo zangu nikiwa la pili nilianza kusikia nakutaka kujaribu shida ikawa hakuna aliyekuwa haswa namna ya kuula mhogo ,na enzi hizo ilikuwa kosa kubwa kumtamkia neno jinsi tofauti ungeuwawa,na ndiyo maana tulimaliza la Saba bila msichina yoyote kupata mimba,hebu fkiria Leo hii ni vijana wangapi wa kiume wanalawitiana.Je tungewajua mapema wenye tabia hiyo tukawaondoa mapema tungeepusha wangapi na kuharibikiwa huko,sasa nashauri serikali ijenge shule za boording za mzingi na sekondari Moja Moja Kila wilaya/halmashauri ambako itakujwa inawasomeshea wanafunzi walipata mimba kujifungua,itakujwa ni rahisi kuweka wodi ya kuwatunza hao watoto wakati mama zao wako darasani,ni rahisi .mama zao kuwanyonyesha kwa wakati,ni rahisi wao kwa wao kubadilishana mawazo ya kikubwa,na rahisi kupewa nasaa za kujiepusha na ngono za utotoni.TUKUmbuke wenye fedha wanasoma sent Fulani na english medium fulani.hadi huruma
Tuendelee kuwafunza, kuwapigania, na kuwatetea kwa nguvu zote.Kabisa. Wenye kujali maisha yao tuna kazi ya ziada kwa kweli. Mungu azidi kututia nguvu.
Aisee sikujua hili. So sad!Tuendelee kuwafunza, kuwapigania, na kuwatetea kwa nguvu zote.
Na unajua kwann hilo rika ndo linaongoza maambukiz ukiachana na mimba??
KWA SABABU KUNA MIBAZAZI MIGONJWA, ISHAJICHOKEA, SASA INADEAL NA VITOTO .
Hapo ndo sheria zinakinzana, labda imefutwa au atafukuzwa wa kiume peke yake.Ile sheria wanafunzi wakikamatwa wanakula tunda wanafukuzwa shule bado inafanya kazi?
Nachukia sanaa kuona mtoto mdogo wakike anaharibiwa maisha na Watu wasokua na Huruma.Aisee sikujua hili. So sad!
Hongera kwa moyo wenye kujali tusichoke kutimiza wajibu wetu kwa ajili ya ustawi waoNachukia sanaa kuona mtoto mdogo wakike anaharibiwa maisha na Watu wasokua na Huruma.
Jambo lolote lina matokeo chanya na hasi. Unachojarib kutetea ni eneo lenye hasi kubwa sn,aidha imekutokea kwa bahat mbaya au umetii maksud ulonayo na pengne yenye mlengo wa kupingana na msimamo wa serikali.Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule
Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?
Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Obama amesema wazi kuwa alipokuwa shule alikuwa mvuta bangi mzuri. Clinton amevuta bangi. Kamala Harris hivyo hivyo.Jambo lolote lina matokeo chanya na hasi. Unachojarib kutetea ni eneo lenye hasi kubwa sn,aidha imekutokea kwa bahat mbaya au umetii maksud ulonayo na pengne yenye mlengo wa kupingana na msimamo wa serikali.
Hapa umetaja ujauzito na uvutaji wa bangi pekee. Lakin umejisahaulisha km sabb za kukatiza masomo zipo nying tu. Nadhan nchi hii tumewah kuwa na kiongoz mkuu kinchi ambaye alipata tatzo na kufukuzwa shule aliyoanzia sekondar,mzazi wake akatumia nafuu hii iliyotangazwa wakt huu kumpeleka shule nyingne na akaendelea na masomo kwa mafanikio na hatmaye kuja kuwa mkuu wa inchi yetu. Kwa uelewa na mtazamo wako huyo kiongoz alikuwa mvuta bangi🤣🤣🤣
Au bas ni kwel (kwa mtazamo wako) kuwa nchi hii imepata kuptia mikonon mwa mvuta bangi?? Mwanadamu yeyte huptia kipind cha kuteleza na kufanya makosa na baada ya hapo majuto anayopitia huwa ni msaada wake! Na hivyo kuhtaji nafas ya pili ili arekebishe makosa yake.
"Ndugu,ikiwa hatuwez kuwazuia msiwarubuni hao mabinti (nawe ukiwemo),Basi ni sahh tuwape fursa ya pili ya kurekebisha makosa yao!
Kuna watu ukisikia kauli zao juu ya jambo hili unabaki na butwaa tu!Obama amesema wazi kuwa alipokuwa shule alikuwa mvuta bangi mzuri. Clinton amevuta bangi. Kamala Harris hivyo hivyo.
Wangapi wanaweza kujilinganisha mafanikio na hawa wavuta bangi?
Amandla...
rasilimali gani? magufuli mwenyewe alijaribu, akaishia kuvamia account za watu benki.Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule
Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?
Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
kwani watu wa dizain hiyo mbona unaishi nao wengi mitaani, na huja vuta bangi wala mimba hujapewa,Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule
Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?
Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Hapo ndo sheria zinakinzana, labda imefutwa au atafukuzwa wa kiume peke yake.
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule
Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?
Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?
Una fikra za kichawi chawi. Mbona makosa mengine kama wizi, bange, ubakaji, wanaendelea na masomo?. Mbona huwazii wanaopata mimba kwa kubakwa au kulazimishwa na mazingira kama sextortion. Mbona hugusii wanaowapa mimba kwanin huendelea kusoma!Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify mapenzi kabla ya kumaliza shule
Fikiria kijana mvuta bangi ambae alikosa malezi na akaacha shule alafu ukamrudisha asome kisa tu unalazisha amalize shule. Hii sio justification kuwa kuvuta bangi na utoro sio kosa?
Mkopo wa bil 600 umetufanya tujikabidhi kwa wakoloni mambo leo. Hivi kwa rasilimali tulizonazo ndio tumelainika kwa wakoloni namna hii?