Kurudishiwa nauli baada ya basi kusitisha safari

Kurudishiwa nauli baada ya basi kusitisha safari

Mahakama zinamwangalia mwenye Pesa lile ni km Duka, hupati bidhaa km huna Pesa.. muhuri tu kugongewa km hauna 5000 utarudishwa kwenu, mahakimu mtanisamehe
tz bado kuna vichwa
 
Geuza nyuma ya tiketi soma vizuri uelewe, huo ndio mkataba kati ya abiria na mwenye bus.
 
Geuza nyuma ya tiketi soma vizuri uelewe, huo ndio mkataba kati ya abiria na mwenye bus.
Tiketi zinazoprintiwa toka kwenye vile vimashine vyao hazijaandikwa masharti yoyote. Mbaya zaidi hupewi lile cover gumu, bali kile cha ndani tu ambacho hakina hayo masharti
 
Back
Top Bottom