Kurudishwa kwa January Makamba ni dalili tosha kwamba Rais Samia ameanza kuliogopa kundi linalompinga ndani ya CCM!

January makamba kuwa rais ni jambo ambalo lipo damuni kwake ni suala la umri na muda tu ila one day yes mwamba anajitahdi sana sometimes ni mifumo tu inamuangusha.
Urais ukiupenda sana unajitengenezea mazingira mengi ya kuukosa, ni cheo kisichokimbiliwa.
 
CCM ni bahari ya siasa na mwenyekiti wake ni mh.Rais Samia....yeye hamuogopi yeyote....hana wa kumhofia punje ukucha....

Mwenyekiti ana hekima na BUSARA kwa kuwa yeye ni MFARIJI mkuu na wote ni wake.....

#Nguvu ya mwenyekiti Samia ni kubwa mno !
Upo sahihi sana Mwenyekiti pia ni amiri jeshi mkuu hana wa kumhofia na bado ana muda wa mika mingine mitano na miezi 10 mbele ,

Kingine kinachombeba Rais Samia ni kuweza kuendeleza mema ya mtangulizi wake na kujiongeza zaidi kuwekeza vizuri kwenye sekta ya kilimo, utalii, maji na elimu hizi ni sekta kubwa zinazogusa watu wengi sana .

Kwa hiyo ushindi wake nje nje
 
Hakika mkuu wangu !

Kazi za mh.Rais Samia zinajieleza mkuu wangu....


#Tunamsemea Mama ila kazi zake hazihitaji tochi kumulikwa !!
 
Kumbe! Labda basi alikuwa na hasira nae siku nyingi. Maana nilisikia kulikuwa na issues pia akiwa Nishati, na kama sio baba yake kumkingia kifua angemtoa
 
Mbona Kama uraisi ni cheo ambacho kila mtu ana kimbilia, shida ni hizi hizi rasilimali za kila siku?

maana katika hao kina mwigulu, makamba, hamna mwenye maajabu ya kimaamuzi zaidi ya kuwaza asilimia zao waki staafu.
 
This is beyond your brain power to comprehend. Acha wenye akili wa discuss. Hii siyo porojo, ni analysis na analysis can never be porojo kwa sababu inatokana na uwezo wa kuona na kuelewa ambao ni wazi wewe huna.
Kwahiyo hii ni analysis yaani?!!!!!! Dah, kwaheri akili.
 
Hakika mkuu wangu !

Kazi za mh.Rais Samia zinajieleza mkuu wangu....


#Tunamsemea Mama ila kazi zake hazihitaji tochi kumulikwa !!
Ki ukweli mwanzoni nilikuwa na wasiwasi asije akabadilika au wahuni wambane wamshawishi aachane na ya mtangulizi wake kwa sababu ni gharama kubwa sana , na kama Bwawa la Mw Nyerere lilikuwa na wahuni wengi wenye nguvu wa kulipinga ili tuwashe majenereta yao, LAKINI AMEFANIKIWA KUVUKA KIHUNZI
kWA KILIMO NA UTALII NADHANI NDO KAWEKA ALAMA KULIKO WENZAKE WOTE WATANO WALIOMTANGULIA.
Wasaidizi wake wamshauri baada ya kuapishwa tena November amtafute waziri mkuu kichaa kidogo ambae wakati mama anahangaika na masuala ya kimaitaifa zaidi waziri mkuu atumbue kweli kweli wazembe bila uoga
 
Hata kumbatio lake linaonyesha kusurrender na kujidogosha, some sort tuyamalize
 
Naam mkuu wangu...amepambana sana huyu mama.....asingekuwa na "stamina" angejiharibia....ila ana misimamo na kabarikiwa "CHARISMA" na "mapafu haswaaa"....

Mwenyezi Mungu atuhifadhie Rais wetu aaamin aaaaamin !!
 
Naam mkuu wangu...amepambana sana huyu mama.....asingekuwa na "stamina" angejiharibia....ila ana misimamo na kabarikiwa "CHARISMA" na "mapafu haswaaa"....

Mwenyezi Mungu atuhifadhie Rais wetu aaamin aaaaamin !!
Kweli kabisa kwa kuwa na ngozi ngumu kajitahidi mno . mwanzo walikuwa wanavimba vimba huko mikoani wakati hata cheo chake bado sio direct appointee ahaaa ahaaa sasahivi wanamheshimu, Na maana na tafsiri ya Urais Ukoingea watu watekeleze jambo sio kila mtu kambale
 
Hakika mkuu wangu....
....mh.Rais Samia ameweza kwa kuichukua kiasi ya misimamo ya hayati JPM na ya wengine....
 
Hakika mkuu wangu....
....mh.Rais Samia ameweza kwa kuichukua kiasi ya misimamo ya hayati JPM na ya wengine....
kabisa asilimia kubwa sana, tumuombee akaze hivyo hivyo mpaka 2030 kimbembe wa kumwachia baada yake
 
January amekaa kimya Hajasema neno kilichofanyika Samia kajishuku yeye na kajijibu yeye, kwa kawaida anayoyataka yeye Samia ndio atakutana nayo, anajua fika hakuwa kwenye mpango wa urais, anapasawa ajue si rahisi rahisi rahisi, Mungu ndio atajua cha kufanya
 
Sijaelewa, Makamba amerudishwa kwenye uwaziri (sijaona tangazo la mabadiliko) au wapi kwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…