Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
MIMI NINACHOTAMANI KUJUA NI KITU GANI KIJANA ALIMKOSEA MAMA YAKE?MANA MAMA AMEKIRI KIJANA ALIKOSA NA KUMTENGUA NI KAMA ADHABU NA SASA AMEMSAMEHE."KOSA LA JANUARY NI LIPI?"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni bahari ya siasa na mwenyekiti wake ni mh.Rais Samia....yeye hamuogopi yeyote....hana wa kumhofia punje ukucha....Labda uwe mtu poyoyo sana wa kufikiri ndio hutaelewa hii move ya Raisi Samia ya kuanza kusema anawarudisha kina January Makamba kwa mama. Hii sio bure, na kama January anafikiri kwamba anachofanyiwa na Raisi Samia ni hisani, basi yeye ni one of the most naive, pathetic and disgusting politicians kuwahi kutokea katika nchi hii, kuweza kuimeza move ya Samia, hook, line and sinker kirahisi kiasi hiki, especially anapoanza kuimba "nampongeza mama kwa kuchaguliwa na Mkutano Mkuu kuwa mgombea wa CCM"!
Anaefaidika na "kurudishwa kwa mama" hapa wala sio January, bali ni Raisi Samia. January Makamba anaonekana kufurahia. Labda pia ni kwa kuwa anajua kilichomfanya aondolewe uwaziri (kuna mtu alisema aliondolewa uwaziri kwa kosa ambalo ingekuwa Tanzania ni China angehukumiwa kifo!).
Samia anajua wazi kwamba kilichofanywa na Mkutano Mkuu hakikukubaliwa na vigogo wengi ndani ya CCM, kutia ndani kina January Makamba, ambao walijua wazi kilichofanywa na Mkutano Mkuu kililenga kuwapiga chenga katika mkakati wao. Tayari kulikuwa na vuguvugu ndani ya CCM la kujaribu kutompitisha Samia kama mgombea wa CCM wa 2025, na hii ndio iliyofanya Samia na kundi lake kutumia Mkutano Mkuu "kujipitisha" kuwa wagombea wa CCM.
Samia anachofanya sasa ni kutumia mbinu ya "divide and weaken" kwenye hili kundi la ndani ya CCM ambalo anajua lina nguvu na linaweza kukwamisha ushindi wake kwenye uchaguzi mkuu. Anaanza kuwavuta mmoja, akianza na kina January Makamba, kwa kutumia "emotional blackmail", eti "kurudi kwa mama". Na pia atawatupia vizawadi vingine vya uteuzi ili kuwatoa kwenye kundi la ndani ya CCM la "Samia Must Fall", ambapo kimsingi kufanya hivyo ni corruption. Kumteua mtu asiyefaa au aliyefanya kosa kubwa ili ufaidike na kuungwa mkono kwake ni rushwa.
Samia anajua wazi kwamba upinzani anaoukabili kulelekea uchaguzi Mkuu wa 2025 sio tu unatoka kwa wapinzani kama kina Lisu, bali kuna kundi ndani ya CCM lenye nguvu sana, ambalo linatia ndani watu wa karibu wa Magufuli waliowekwa kando, ambalo lilishajiweka sawa kupanga mkakati wa aidha asiteuliwe kuwa mgombea wa CCM au asishinde uchaguzi wa kuwa raisi. Sasa kikwazo cha kuteuliwa aliwapiga chenga kwa kutumia Mkutano Mkuu. Lakini Samia anajua wazi hiyo haitoshi. Na sasa anaanza "kuwarudisha kwa mama". Ni wale walio naive na waroho wa madaraka tu ambao watashindwa kuliona hilo na kukubali "kurudi kwa mama", na kuacha kuwa sehemu ya "Samia Must Fall" ndani ya CCM.
Pia soma: Rais Samia: Nilimpiga kikofi January leo namrudisha kwa mama
gentleman naona unaenjoy umbea mwenyewe dah,Acha ujuha
hiyo sio hoja gentleman,Wewe Nina uhakika ni kati ya wale waliojipaka mavi kule uwanja wa taifa na kupita mbele ya rais.
Badala ujibu hoja unaandika mipasho
ndio ukae kimya sasa gentleman,Hata kama...
Mengine ruhusu yapite pasipo kuchangia.
Sawa Oktoba Rais ni SamiaLabda uwe mtu poyoyo sana wa kufikiri ndio hutaelewa hii move ya Raisi Samia ya kuanza kusema anawarudisha kina January Makamba kwa mama. Hii sio bure, na kama January anafikiri kwamba anachofanyiwa na Raisi Samia ni hisani, basi yeye ni one of the most naive, pathetic and disgusting politicians kuwahi kutokea katika nchi hii, kuweza kuimeza move ya Samia, hook, line and sinker kirahisi kiasi hiki, especially anapoanza kuimba "nampongeza mama kwa kuchaguliwa na Mkutano Mkuu kuwa mgombea wa CCM"!
Anaefaidika na "kurudishwa kwa mama" hapa wala sio January, bali ni Raisi Samia. January Makamba anaonekana kufurahia. Labda pia ni kwa kuwa anajua kilichomfanya aondolewe uwaziri (kuna mtu alisema aliondolewa uwaziri kwa kosa ambalo ingekuwa Tanzania ni China angehukumiwa kifo!).
Samia anajua wazi kwamba kilichofanywa na Mkutano Mkuu hakikukubaliwa na vigogo wengi ndani ya CCM, kutia ndani kina January Makamba, ambao walijua wazi kilichofanywa na Mkutano Mkuu kililenga kuwapiga chenga katika mkakati wao. Tayari kulikuwa na vuguvugu ndani ya CCM la kujaribu kutompitisha Samia kama mgombea wa CCM wa 2025, na hii ndio iliyofanya Samia na kundi lake kutumia Mkutano Mkuu "kujipitisha" kuwa wagombea wa CCM.
Samia anachofanya sasa ni kutumia mbinu ya "divide and weaken" kwenye hili kundi la ndani ya CCM ambalo anajua lina nguvu na linaweza kukwamisha ushindi wake kwenye uchaguzi mkuu. Anaanza kuwavuta mmoja, akianza na kina January Makamba, kwa kutumia "emotional blackmail", eti "kurudi kwa mama". Na pia atawatupia vizawadi vingine vya uteuzi ili kuwatoa kwenye kundi la ndani ya CCM la "Samia Must Fall", ambapo kimsingi kufanya hivyo ni corruption. Kumteua mtu asiyefaa au aliyefanya kosa kubwa ili ufaidike na kuungwa mkono kwake ni rushwa.
Samia anajua wazi kwamba upinzani anaoukabili kulelekea uchaguzi Mkuu wa 2025 sio tu unatoka kwa wapinzani kama kina Lisu, bali kuna kundi ndani ya CCM lenye nguvu sana, ambalo linatia ndani watu wa karibu wa Magufuli waliowekwa kando, ambalo lilishajiweka sawa kupanga mkakati wa aidha asiteuliwe kuwa mgombea wa CCM au asishinde uchaguzi wa kuwa raisi. Sasa kikwazo cha kuteuliwa aliwapiga chenga kwa kutumia Mkutano Mkuu. Lakini Samia anajua wazi hiyo haitoshi. Na sasa anaanza "kuwarudisha kwa mama". Ni wale walio naive na waroho wa madaraka tu ambao watashindwa kuliona hilo na kukubali "kurudi kwa mama", na kuacha kuwa sehemu ya "Samia Must Fall" ndani ya CCM.
Pia soma: Rais Samia: Nilimpiga kikofi January leo namrudisha kwa mama
short, simple, meaningful and very clear comment of the day 💪👊Sawa Oktoba Rais ni Samia
Kwani amepewa wizara gani?Labda uwe mtu poyoyo sana wa kufikiri ndio hutaelewa hii move ya Raisi Samia ya kuanza kusema anawarudisha kina January Makamba kwa mama. Hii sio bure, na kama January anafikiri kwamba anachofanyiwa na Raisi Samia ni hisani, basi yeye ni one of the most naive, pathetic and disgusting politicians kuwahi kutokea katika nchi hii, kuweza kuimeza move ya Samia, hook, line and sinker kirahisi kiasi hiki, especially anapoanza kuimba "nampongeza mama kwa kuchaguliwa na Mkutano Mkuu kuwa mgombea wa CCM"!
Anaefaidika na "kurudishwa kwa mama" hapa wala sio January, bali ni Raisi Samia. January Makamba anaonekana kufurahia. Labda pia ni kwa kuwa anajua kilichomfanya aondolewe uwaziri (kuna mtu alisema aliondolewa uwaziri kwa kosa ambalo ingekuwa Tanzania ni China angehukumiwa kifo!).
Samia anajua wazi kwamba kilichofanywa na Mkutano Mkuu hakikukubaliwa na vigogo wengi ndani ya CCM, kutia ndani kina January Makamba, ambao walijua wazi kilichofanywa na Mkutano Mkuu kililenga kuwapiga chenga katika mkakati wao. Tayari kulikuwa na vuguvugu ndani ya CCM la kujaribu kutompitisha Samia kama mgombea wa CCM wa 2025, na hii ndio iliyofanya Samia na kundi lake kutumia Mkutano Mkuu "kujipitisha" kuwa wagombea wa CCM.
Samia anachofanya sasa ni kutumia mbinu ya "divide and weaken" kwenye hili kundi la ndani ya CCM ambalo anajua lina nguvu na linaweza kukwamisha ushindi wake kwenye uchaguzi mkuu. Anaanza kuwavuta mmoja, akianza na kina January Makamba, kwa kutumia "emotional blackmail", eti "kurudi kwa mama". Na pia atawatupia vizawadi vingine vya uteuzi ili kuwatoa kwenye kundi la ndani ya CCM la "Samia Must Fall", ambapo kimsingi kufanya hivyo ni corruption. Kumteua mtu asiyefaa au aliyefanya kosa kubwa ili ufaidike na kuungwa mkono kwake ni rushwa.
Samia anajua wazi kwamba upinzani anaoukabili kulelekea uchaguzi Mkuu wa 2025 sio tu unatoka kwa wapinzani kama kina Lisu, bali kuna kundi ndani ya CCM lenye nguvu sana, ambalo linatia ndani watu wa karibu wa Magufuli waliowekwa kando, ambalo lilishajiweka sawa kupanga mkakati wa aidha asiteuliwe kuwa mgombea wa CCM au asishinde uchaguzi wa kuwa raisi. Sasa kikwazo cha kuteuliwa aliwapiga chenga kwa kutumia Mkutano Mkuu. Lakini Samia anajua wazi hiyo haitoshi. Na sasa anaanza "kuwarudisha kwa mama". Ni wale walio naive na waroho wa madaraka tu ambao watashindwa kuliona hilo na kukubali "kurudi kwa mama", na kuacha kuwa sehemu ya "Samia Must Fall" ndani ya CCM.
Pia soma: Rais Samia: Nilimpiga kikofi January leo namrudisha kwa mama
Wale walioongoxa madarasani wote wangetuongoxaa kyngekalikaTunaongozwa na watu wajinga sn
Hamna kitu pale. Walioko ndani ya CCM wakiamua kutumia tu gia ya Uzanzibar wanamuondoa. Samia yuko very vulnerableCCM ni bahari ya siasa na mwenyekiti wake ni mh.Rais Samia....yeye hamuogopi yeyote....hana wa kumhofia punje ukucha....
Mwenyekiti ana hekima na BUSARA kwa kuwa yeye ni MFARIJI mkuu na wote ni wake.....
#Nguvu ya mwenyekiti Samia ni kubwa mno !
Bado,itakuwa negotiation zinaendelea. Na hizi huwa ni negotiation hata baba yake anashiriki, kama alivyoshinikiza apewe wizara ya nishati.Kwani amepewa wizara gani?
Hatukutegemea kitu tofauti, na alijua wazi lazima aongee kitu ambacho umati ule wa Bumbuli ungefurahia kwa sababu kinamfurahisha mbunge wao. Bila kuongea vile Samia angeweza hata kuzomewa na wananchi wa Bumbuli kwa kile ambacho wangeona amemfanyia mbunge wao. Ndio maana nikamwambia, aliyeshinda hapa sio January, ni Samia. Kishajihakikishia kura za Bumbuli na kumtoa January katika kundi la wapinzani wake wa ndani ya CCMtatizo wabongo mnahadaika sana na maneno ya jukwaani..nyie mlitegemea samia aongee nini mbele ya umati wa watu zaidi ya alivyoongea..wanasiasa ni kawaida kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa ila sisi hatuwezi kujua yaliyo nyuma ya pazia baina yao kwani kuongea sio kutenda.
Unaambiwa ni kosa ambalo January angekuwa China angehukumiwa kifo! Suala ni kwa nini Samia hataki kulisema? Kwa sababu lingeiaibisha CCM?MIMI NINACHOTAMANI KUJUA NI KITU GANI KIJANA ALIMKOSEA MAMA YAKE?MANA MAMA AMEKIRI KIJANA ALIKOSA NA KUMTENGUA NI KAMA ADHABU NA SASA AMEMSAMEHE."KOSA LA JANUARY NI LIPI?"
Si rahisi. Kurudi kwa mama kwa January kunamfanya aanze kutengeneza njia mbadala ya kumfikisha kwenye mbio za uraisi za 2020, badala ya ile ya kumtoa Samia. Sasa tatizo ni kwamba, Mwigulu nae anajiona ndio anaestahili 2030. January anaona yeye ndie anaefaa. Soon Nchimbi ataona ni haki yake yeye kuwa raisi 2030. Hapo ndio ngoma itakaponoga!Kwasasa,
Makamba akubali kua sio Kila ndoto anayoota Ni lazima itimie.
Maisha hayakupi unachotaka,yanakupa unachostahili
Nnachomshauri,
Kwasasa awe mpole na apige Kazi Sana Kama mwenzake MWIGULU.
Huenda mama ktk kustaafu kwake akamfikiria Kama alivofikiriwa mkapa enzi ya mwinyi
Sasa unashindwaje kuelewa vitu simple kama hivi?Mbona nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu??
Sijawahi pata F toka nianze kusoma.
Hatari snWale walioongoxa madarasani wote wangetuongoxaa kyngekalika
Mungu anapanga
Mungu fundi