Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Yaani habari inayo trendi ni Rais KURUHUSU Maandamano.
Imekua ndipo habari kubwa zaidi hâta ya hoja za Chadema.
Kiukweli Mpaka Sasa ni kama hakuna MAANDANO yaliyo tokea.
Kwa jambo hili Rais ameshauriwa vizuri sana.
Kama Chadema wangezuiwa kufanya maandamano na kulazimika kupambana na polisi, ingekua habari yenye kuvutia wengi kutaka kujua hoja za Chadema.
Hapa Kuna viongozi wajifunze. Hauwezi kuwa na suluhisho moja kwa Kila changamoto.
Mambo ya kupeleka wanajeshi barabarani yamepitwa na wakati.
Watu wameomba kuandana kwa amani unawazuwia kwamba hautaki kusikilizwa mawazo mbadala!?
Muhimu Sasa Rais achakate hoja za Chadema na kuzishigulikia ili kuonesha kuwa unaweza kuandamana kwa amani na bado utasikika tu.
Hongera sana mama .