Katafute wa aina yako mkafundisheni tuition........otherwise huna hoja.Naona unajichanganya tuu wewe, hujui unaloongea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katafute wa aina yako mkafundisheni tuition........otherwise huna hoja.Naona unajichanganya tuu wewe, hujui unaloongea
Siku rais wako akisema Bunge lioneshwe live utakuja tena hapa hapa kukata mauno.Watu wengi wanaotaka bunge live nnauhakika hawajui wanachokihitaji, mfano rahisi muulize ,unataka maendeleo jimboni kwako au kuona wabunge wakiwa dodoma?
Nazaidi wengi wao hushinda kuangalia bunge tuu bila kufanya shughuli zozote za maendeleo halafu mwishoni wanasema nchi ni masikini kume chanzo cha umaskini ni wao NAMBA MOJA full stop!!!!!!!
Watu mna maneno kweli!!Imbecile.