Kurusha Ndege (Boarding School)...

Kurusha Ndege (Boarding School)...

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Salaam wakuu,

Kama wewe ulipitia shule ya bweni basi utakua unafahamu, ama umewahi kusikia, ama wewe mwenyewe unaweza ukawa pilot mstaaf. kwa kifupi ninaongelea swala la kuruka ukuta usiku. Sababu kuu za kuruka ukuta zilikua ni: kwenda kuruka kwanja, kubadilisha menu na kwenda kununua mazaga ili kuja kusupply ndan ya shule.

Mimi kwa shule niliyosoma mpaka nilipewa cheo cha ukanali nikiwa na rusha ndege muda wote huku marubani chipukizi kama kina mkuu Rabbi Faz Chover wakiwa wanarusha usiku tuu. Ila siku iliyonaswa na discipline master ikabidi nistaafu urubani. cha ajabu sasa, shule nyingi za boarding ambazo zilikua strict kwenye kosa la kuruka ukuta kama vile St.Mathew ndio unakuta kuna mapilot walioshindikana hadi wa kike unaambiwa. Dah, maisha ya yule yana raha zake haswa usome boarding unakutana watu wa tofauti kila mtu na visa au vituko vyake ilimradi burudani!
 
Remember this Mr. Don??
''..In front of you is..............Last time he came to me and asked for permission to get out but I didn't give..'' by Mr. Mushi.
 
Mmesoma shule za watoto wa mama ambazo zina ukuta....Tulizosoma wengine ni boarding ambazo hazikuwa ni hizo habari...wako wapi watu wa Mara Sekondarii!!
 
Umenikumbusha Lutheran junior seminary aisee Duh pande za bigwa au kingorwira Mh Kweli yakale dhahabu
 
Remember this Mr. Don??
''..In front of you is..............Last time he came to me and asked for permission to get out but I didn't give..'' by Mr. Mushi.
hahaha, nakumbuka mkuu. the day i was relieved my rank n got suspended. daah i cant forget mkuu
 
Mmesoma shule za watoto wa mama ambazo zina ukuta....Tulizosoma wengine ni boarding ambazo hazikuwa ni hizo habari...wako wapi watu wa Mara Sekondarii!!

mkuu japo hukutumia weledi kucomment lakini kurusha flight it doesnt necessarily mean uruke hukuta hata kutoroka usiku. form five yangu nimesoma Ndanda Boys mtwara there was no wall but still flight zilikua zinarushwa
 
Umenikumbusha Lutheran junior seminary aisee Duh pande za bigwa au kingorwira Mh Kweli yakale dhahabu

hahah, kuna jamaa yangu alisoma Junior Seminary hapo bwana Inno Mayage alikamatwa kwa kurusha ndege akafukuzwa
 
Hahaha umenikumbusha shule moja inaitwa Musoma Allience (Musoma Tech)
Kulikuwa na mwendo wa kwenda sehemu moja inaitwa Baruti kwa Bry kucheki movie!
Kubwa zaidi ni kikao...
 
Hahaha umenikumbusha shule moja inaitwa Musoma Allience (Musoma Tech)
Kulikuwa na mwendo wa kwenda sehemu moja inaitwa Baruti kwa Bry kucheki movie!
Kubwa zaidi ni kikao...

hahah mkuu hamkuwah kunaswa?
 
Li ino nalipata enzi za mbabe mwambashi kaka,wapi koloa?
 
Nimesoma mwakaleli high xul we were much free! Hatukuwa na mashart kiac hcho ukilala nje ya shule xawa, kiac cha baadhi ya watu kujulikana zaid mtaan vijijini zaid hata ya shuleni hasa kwa nick names zao kama mswaki, H.O.P, jogoo, king china, kilaza na wengineo kibao..wengne wameacha watoto kibao..mfan king china huonekana wik 2 kwa muhula alijitahd kukaa mwez mzima tulipokaribia necta bt he perfomed well
 
bt some guyz walkuwa busy kupga msuli haxa na madem zao...ctosahau cku nlipootewa na matcha nkila mtungi kijijin bt msala uliisha kwa fimbo nne...simu ziliruhusiwa...kiac ya shule kuitwa university kasoro hakukuwa na boom
 
Mmesoma shule za watoto wa mama ambazo zina ukuta....Tulizosoma wengine ni boarding ambazo hazikuwa ni hizo habari...wako wapi watu wa Mara Sekondarii!!

Mimi nimepiga shule isiyo na geti wala uzio. Ilikuwa free kwenda mjini hata usiku lakini ukibainika cha moto utakipata! Head master Bwana Justinian S Banyenza alikuwa mkali na anamsimamo balaa pia kulikuwa na kamati ya viboko na adhabu! Chini ya mwalimu Hanter na Byamungu. Wako wapi waliosoma Ihungo miaka ya 2000-2007? Ilikuwa balaa kwa nidhamu na usafi, kwa sasa imechakaa.
 
Nimesoma mwakaleli high xul we were much free! Hatukuwa na mashart kiac hcho ukilala nje ya shule xawa, kiac cha baadhi ya watu kujulikana zaid mtaan vijijini zaid hata ya shuleni hasa kwa nick names zao kama mswaki, H.O.P, jogoo, king china, kilaza na wengineo kibao..wengne wameacha watoto kibao..mfan king china huonekana wik 2 kwa muhula alijitahd kukaa mwez mzima tulipokaribia necta bt he perfomed well

daaah king china ametisha mkuu
 
bt some guyz walkuwa busy kupga msuli haxa na madem zao...ctosahau cku nlipootewa na matcha nkila mtungi kijijin bt msala uliisha kwa fimbo nne...simu ziliruhusiwa...kiac ya shule kuitwa university kasoro hakukuwa na boom
hahaha, kweli hiyo ilikua university mkuu
 
Hahaha umenikumbusha shule moja inaitwa Musoma Allience (Musoma Tech)
Kulikuwa na mwendo wa kwenda sehemu moja inaitwa Baruti kwa Bry kucheki movie!
Kubwa zaidi ni kikao...

Hahaaa mkuu kumbe unazijua pande hizo?Ulikuwa unaenda Baruti kwa Bry kuangalia pilau na jirani pale kwenye uji wa mchele?Hongera uliwahi kuingia au kuitumia pia?Kuna sehemu nyingine kulikuwa na movie nzuri sana upande wa Fishpak kulikuwa kunaitwa kwa Madarka ulienda pia?Nilikuwa hapo A level so safari za kwenda Songe usiku kuzamia disko zilikuwa ni jadi.Nashangaa vijana wanaongelea kuruka ukuta ilhali sisi tulikuwa tunajiondokea tu wala hakuna mtu anayejua
 
mkuu japo hukutumia weledi kucomment lakini kurusha flight it doesnt necessarily mean uruke hukuta hata kutoroka usiku. form five yangu nimesoma Ndanda Boys mtwara there was no wall but still flight zilikua zinarushwa

Mkuu weldi upi unahitajika katika kutofautisha kuruka ukuta na kuzamia?Sisi huko viwanja vya umma tulikuwa tunaita kuzamia so kurusha ndege ni msamiati unaorandana na uzio.
 
Back
Top Bottom