donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Salaam wakuu,
Kama wewe ulipitia shule ya bweni basi utakua unafahamu, ama umewahi kusikia, ama wewe mwenyewe unaweza ukawa pilot mstaaf. kwa kifupi ninaongelea swala la kuruka ukuta usiku. Sababu kuu za kuruka ukuta zilikua ni: kwenda kuruka kwanja, kubadilisha menu na kwenda kununua mazaga ili kuja kusupply ndan ya shule.
Mimi kwa shule niliyosoma mpaka nilipewa cheo cha ukanali nikiwa na rusha ndege muda wote huku marubani chipukizi kama kina mkuu Rabbi Faz Chover wakiwa wanarusha usiku tuu. Ila siku iliyonaswa na discipline master ikabidi nistaafu urubani. cha ajabu sasa, shule nyingi za boarding ambazo zilikua strict kwenye kosa la kuruka ukuta kama vile St.Mathew ndio unakuta kuna mapilot walioshindikana hadi wa kike unaambiwa. Dah, maisha ya yule yana raha zake haswa usome boarding unakutana watu wa tofauti kila mtu na visa au vituko vyake ilimradi burudani!