Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Chunguza vizuri tena. Inawakilishaga jamii ya watu fulani.Usafi au uchafu, ni tabia ya mtu binafsi. Haiwakilishi kabila au Jamii fulani
Mfugaji anachukulia kuwa na harufu moja na ng'ombe wake sio issue.
Ila mwingine anaweza ona ni uchafu.
Kimsingi huyo alovalia nguo za kungaa, akaoga na mafuta akapaka akapendeza akajipulizia na pafyumu. Akienda kwa mfugaji atakuwa ni 'mchafu'
Mchafu in a sense kwamba hatakiwi pale, anaweza kusababisha vurugu na hata kifo. Anawachanganya ng'ombe wanajiuliza tumevamiwa na nini.