Kusafiri gari moja na watu wa jamii ya kifugaji ni kero

Wewe hao unaokutana nao huko ni wale wachungaji wa mshahara, hujukutana na matajiri wenyewe!!
Bahati nzuri huku kwetu ukanda wa pwani siku hizi wamejaa tele hivyo huwezi kunidanganya lolote kuhusu hao watu,kuna siku nilikuwa naelekea kijijini wilaya ya Kisarawe mida ya 12.30 jioni kuigiza tayari kimeanza kuingia porini nikakuta mang'ati yupo na familia yake wameamua walale pale kuuliza kwa wanakijiji wanasema hao ndivyo walivyo na hapo yupo njiani anaelekea Rufiji.
Nilishangaa sana inakuwaje mtu anamiliki kundi kubwa la ng'ombe anashindwe kukodi malori!
 
Haya wafugaji mmefikiwa
Huyo jamaa anakisirani sana. Anatakiwa atutake radhi haraka. Hatulipagi nauli kama yeye? Tunatumia pesa yetu bana. Amekunywa supu na ameshasahau ni kutoka kwa nyama ya ng'ombe, mbuzi n.k.
 
Nilisafiri msukuma yupo na shuka linanuka harufu ya zizini halafu joto kali kavalia lile buti shamba, lilikuwa bus luxury ikabidi nishukie njiani nipande costa
 
Kaka, kusafiri na watu wa Hali ya chini kwenye gari moja unapenda mwenyewe. Mfano Kama unakwenda Mombasa au Tanga ukitokea Dar Kuna like bus la siti 35. Kila MTU kitu chake. Hakuna sijui 2×2 au 2×3 Ni mwendo wa 1x1. Hutakutana na watu wajinga kwenye haya mabasi. Dodoma pia lipo la hivi.

Kama Ni kwanza ukitokea Dar Kuna bus la 65000 hili wajinga hawapandi. Ukitokea Dar kwenda Dodoma ukapanda Basi la 17,000 lazima ukutane na kunguni, chawa, papasi, midomo kunuka n.k.

Kama unakwenda Arusha chukua Tahmed ya Nairobi kila mtu siti yake, wajinga hawapandi hii Basi hata wakipanda utakua kwenye siti yako binafsi na siti ya jirani iko mbali. Yaani Basi Ni Kama sitting room.
Kumbe masikini mnatuona wajinga?
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana yaani wamassai wachafu aisee wakifatwa na wamang'ati na yale mafuta yao bora hata wasukumu na mashuka yao meusi unakuta halifuliwi hilo yaani km waganga na wamang'ati. Wamasai Wengine unakuta hata chupi havai wananuka harufu ya ng'ombeng'ombe.
 
Olmoruo! Changamoto tunazopitia huku kwetu kwa kweli hakuna Mswahili(Olmeeki) anazimudu.
 
Kaka, kusafiri na watu wa Hali ya chini kwenye gari moja unapenda mwenyewe. Mfano Kama unakwenda Mombasa au Tanga ukitokea Dar Kuna like bus la siti 35. Kila MTU kitu chake. Hakuna sijui 2×2 au 2×3 Ni mwendo wa 1x1. Hutakutana na watu wajinga kwenye haya mabasi. Dodoma pia lipo la hivi.

Kama Ni kwanza ukitokea Dar Kuna bus la 65000 hili wajinga hawapandi. Ukitokea Dar kwenda Dodoma ukapanda Basi la 17,000 lazima ukutane na kunguni, chawa, papasi, midomo kunuka n.k.

Kama unakwenda Arusha chukua Tahmed ya Nairobi kila mtu siti yake, wajinga hawapandi hii Basi hata wakipanda utakua kwenye siti yako binafsi na siti ya jirani iko mbali. Yaani Basi Ni Kama sitting room.
Hao unao waita wajinga Ni watu gani?
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana yaani wamassai wachafu aisee wakifatwa na wamang'ati na yale mafuta yao bora hata wasukumu na mashuka yao meusi unakuta halifuliwi hilo yaani km waganga na wamang'ati. Wamasai Wengine unakuta hata chupi havai wananuka harufu ya ng'ombeng'ombe.
Kha! Oiyeyai. Sasa naona mmetuchoka.
 
Hapa namaanisha Wamasai, Wagogo, Wasukuma na Mang'ati hawa watu usafi kwao ni sifuri wanajifunika na mashuka na mablanketi yanayonuka sana na mara nyingine yana kunguni na chawa. Usafi wa kinywa hawazing'atii wananuka midomo sana hawa watu usiombe ukae nao siti moja utajuta.

Mara nyingi ukisafiri kwenda Morogoro, Simiyu, Ruvuma, Katavi, Shinyanga, Manyara utakutana na hii kero.

ANGALIZO GARI NINALO ILA SIPENDELEI KUSAFIRI UMBALI MREFU HASWA MIKOANI NA GARI YANGU HUWA NAPANDA LUXURY NAKUTANA NAO NAHISI WANAUZA NG'OMBE SANA KISA KUSAFIRI. KUHUSU KUPANDA NDEGE INAKUA NGUMU KUNA MIKOA HAMNA SAFARI ZA NDEGE KAMA KATAVI.
Bwana umenikumbisha mbali sana . Siku moja nilikuwa naenda tabora. Tumefika dumila akaingia mmasai mmoja bhana. Jamaa alikuwa na radio kama mbili kazivaa shingoni akaanza kula ngoma. Dah yaani nilikasirika hadi nikaanza kucheka. Aisee jamaa alishukia dodom
 
Screenshot_20230523-085642_Google.jpg
katavi nimetua juzi mkuu
 
Shieeee, eroo sisi ajalasimisha wewe apande hizi magari setu. Wewe anataka sisi atembee tu kwa muguu? Shieeee, olarbumenye.
Yani hiyo meeki inatukana sisi kwamba ni watu chafu... hiyo meeki ni lakaibara kabisa
 
Unaweza kulipia siti mbili pia alafu ukae mwenyewe all in all hiyo ni public transport ulitegemea nini kila mtu yupo na personality yake hata akikaa uchi as long as amelipa nauli kama wewe kaa kwa kutulia and enjoy the ride
 
Back
Top Bottom