Kusafiri gari moja na watu wa jamii ya kifugaji ni kero

Wewe hao unaokutana nao huko ni wale wachungaji wa mshahara, hujukutana na matajiri wenyewe!!
Bahati nzuri huku kwetu ukanda wa pwani siku hizi wamejaa tele hivyo huwezi kunidanganya lolote kuhusu hao watu,kuna siku nilikuwa naelekea kijijini wilaya ya Kisarawe mida ya 12.30 jioni kuigiza tayari kimeanza kuingia porini nikakuta mang'ati yupo na familia yake wameamua walale pale kuuliza kwa wanakijiji wanasema hao ndivyo walivyo na hapo yupo njiani anaelekea Rufiji.
Nilishangaa sana inakuwaje mtu anamiliki kundi kubwa la ng'ombe anashindwe kukodi malori!
 
Haya wafugaji mmefikiwa
Huyo jamaa anakisirani sana. Anatakiwa atutake radhi haraka. Hatulipagi nauli kama yeye? Tunatumia pesa yetu bana. Amekunywa supu na ameshasahau ni kutoka kwa nyama ya ng'ombe, mbuzi n.k.
 
Nilisafiri msukuma yupo na shuka linanuka harufu ya zizini halafu joto kali kavalia lile buti shamba, lilikuwa bus luxury ikabidi nishukie njiani nipande costa
 
Kumbe masikini mnatuona wajinga?
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana yaani wamassai wachafu aisee wakifatwa na wamang'ati na yale mafuta yao bora hata wasukumu na mashuka yao meusi unakuta halifuliwi hilo yaani km waganga na wamang'ati. Wamasai Wengine unakuta hata chupi havai wananuka harufu ya ng'ombeng'ombe.
 
Olmoruo! Changamoto tunazopitia huku kwetu kwa kweli hakuna Mswahili(Olmeeki) anazimudu.
 
Hao unao waita wajinga Ni watu gani?
 
Kha! Oiyeyai. Sasa naona mmetuchoka.
 
Bwana umenikumbisha mbali sana . Siku moja nilikuwa naenda tabora. Tumefika dumila akaingia mmasai mmoja bhana. Jamaa alikuwa na radio kama mbili kazivaa shingoni akaanza kula ngoma. Dah yaani nilikasirika hadi nikaanza kucheka. Aisee jamaa alishukia dodom
 
Shieeee, eroo sisi ajalasimisha wewe apande hizi magari setu. Wewe anataka sisi atembee tu kwa muguu? Shieeee, olarbumenye.
Yani hiyo meeki inatukana sisi kwamba ni watu chafu... hiyo meeki ni lakaibara kabisa
 
Unaweza kulipia siti mbili pia alafu ukae mwenyewe all in all hiyo ni public transport ulitegemea nini kila mtu yupo na personality yake hata akikaa uchi as long as amelipa nauli kama wewe kaa kwa kutulia and enjoy the ride
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…