Namba za madereva wa maloli unazo.Simple tu mbona magari yapo mengi tu, ni zile transit huwa znarud dar empty sometimes na sizan Kama inazd elfu kumi kusafirisha kilo mia za kipeto kimoja.....hakuna sehem yenye mchele Haina magar.....muda sahh wa kuanza biashara ni Sasa kwani mchele ni Bei chee Sana kwa Sasa nazan Bei ya juu ni 1200
Hakuna haja ya namba mashneni ndio sokoni huko kuna Malory pianamba za madereva wa maloli unazo
[emoji3516]Mbeya to DSM nauli ni elf 50 kwa tani 1
Gari nenda mashine yoyote utapata connection.
[emoji3516]Simple tu mbona magari yapo mengi tu, ni zile transit huwa znarud dar empty sometimes na sizan Kama inazd elfu kumi kusafirisha kilo mia za kipeto kimoja.....hakuna sehem yenye mchele Haina magar.....muda sahh wa kuanza biashara ni Sasa kwani mchele ni Bei chee Sana kwa Sasa nazan Bei ya juu ni 1200
Pa Ipinda ama kugu mkuu? 😀Kila la kheri..
Kama unatoa Kyela niambie nikupe connection
Mmwaja nkhamuPa Ipinda ama kugu mkuu? 😀
Ndaga fijo! Uwaponye hukoMmwaja nkhamu
Nipe connection mkuu na mtu wa Kyela anae uza mchele nataka niende huko kutafuta mchele.Kila la kheri..
Kama unatoa Kyela niambie nikupe connection
Poa nakupa ngoja niwasiliane naye kwanza.Nipe connection mkuu na mtu wa Kyela anae uza mchele nataka niende huko kutafuta mchele
Karibu Kapunga uchukue mpunga unaokobolewa kisasaNipe connection mkuu na mtu wa Kyela anae uza mchele nataka niende huko kutafuta mchele.
Magari yapo mengi sana...malori yanayorudi dsm baada ya kushusha mzgo yapo kibao..bei zao ni 10000-12000 kwa gunia la kilo 100Kwa wanaofahamu lengo langu nataka ninunue gunia za mchele kutoka Mbeya kuja Dar es salaam kwa ajili ya biashara.
Nataka nifahamu bei ya usafirishaji.
Na pia nifahamu sehemu nitakayopata magari ya kusafirishia.
Na pia nataka nijue vibali vya kuwa navyo ili nisisumbuliwe na bei zake zote.
Na mengine ikiwa sijayataja kwa wanaofahamu zaidi.
Mzee beiya juu mchele kwa sasa Mbeya ni 800 mpaka 1000Simple tu mbona magari yapo mengi tu, ni zile transit huwa zinarud Dar empty sometimes na sizan kama inazidi elfu kumi kusafirisha kilo mia za kipeto kimoja...
Hakuna sehem yenye mchele haina magari.....muda sahh wa kuanza biashara ni sasa kwani mchele ni bei chee sana kwa sasa nadhani bei ya juu ni 1200.