buyoya419
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 618
- 498
Kwa wanaofahamu lengo langu nataka ninunue gunia za mchele kutoka Mbeya kuja Dar es salaam kwa ajili ya biashara.
Nataka nifahamu bei ya usafirishaji.
Na pia nifahamu sehemu nitakayopata magari ya kusafirishia.
Na pia nataka nijue vibali vya kuwa navyo ili nisisumbuliwe na bei zake zote.
Na mengine ikiwa sijayataja kwa wanaofahamu zaidi.