Kusafirisha Mchele kutoka Mbeya kuja Dar es Salaam

Kusafirisha Mchele kutoka Mbeya kuja Dar es Salaam

buyoya419

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
618
Reaction score
498
1617701963193.png

Kwa wanaofahamu lengo langu nataka ninunue gunia za mchele kutoka Mbeya kuja Dar es salaam kwa ajili ya biashara.

Nataka nifahamu bei ya usafirishaji.

Na pia nifahamu sehemu nitakayopata magari ya kusafirishia.

Na pia nataka nijue vibali vya kuwa navyo ili nisisumbuliwe na bei zake zote.

Na mengine ikiwa sijayataja kwa wanaofahamu zaidi.
 
Simple tu mbona magari yapo mengi tu, ni zile transit huwa zinarud Dar empty sometimes na sizan kama inazidi elfu kumi kusafirisha kilo mia za kipeto kimoja.

Hakuna sehem yenye mchele haina magari, muda sahh wa kuanza biashara ni sasa kwani mchele ni bei chee sana kwa sasa nadhani bei ya juu ni 1200.
 
Simple tu mbona magari yapo mengi tu, ni zile transit huwa znarud dar empty sometimes na sizan Kama inazd elfu kumi kusafirisha kilo mia za kipeto kimoja.....hakuna sehem yenye mchele Haina magar.....muda sahh wa kuanza biashara ni Sasa kwani mchele ni Bei chee Sana kwa Sasa nazan Bei ya juu ni 1200
Namba za madereva wa maloli unazo.
 
Simple tu mbona magari yapo mengi tu, ni zile transit huwa znarud dar empty sometimes na sizan Kama inazd elfu kumi kusafirisha kilo mia za kipeto kimoja.....hakuna sehem yenye mchele Haina magar.....muda sahh wa kuanza biashara ni Sasa kwani mchele ni Bei chee Sana kwa Sasa nazan Bei ya juu ni 1200
[emoji3516]
WAMESHAKUPA MWONGOZO TAYARI MKUU!!!
 
Bei ya kusafirishia ni kati ya elf 8000 mpaka elf 10000 itategemea na saiz utayochukua
Magari yanapatikan uyole
Na vibali ni ushuru2 hamna kibali chengine
 
Kwa wanaofahamu lengo langu nataka ninunue gunia za mchele kutoka Mbeya kuja Dar es salaam kwa ajili ya biashara.

Nataka nifahamu bei ya usafirishaji.

Na pia nifahamu sehemu nitakayopata magari ya kusafirishia.

Na pia nataka nijue vibali vya kuwa navyo ili nisisumbuliwe na bei zake zote.

Na mengine ikiwa sijayataja kwa wanaofahamu zaidi.
Magari yapo mengi sana...malori yanayorudi dsm baada ya kushusha mzgo yapo kibao..bei zao ni 10000-12000 kwa gunia la kilo 100

Mchele upo mwingi bwerere tu...mi nipo mbalizi kwa sasa na hapa mazao ya biashara na chakula yamasafirishwa hasa...
 
Simple tu mbona magari yapo mengi tu, ni zile transit huwa zinarud Dar empty sometimes na sizan kama inazidi elfu kumi kusafirisha kilo mia za kipeto kimoja...

Hakuna sehem yenye mchele haina magari.....muda sahh wa kuanza biashara ni sasa kwani mchele ni bei chee sana kwa sasa nadhani bei ya juu ni 1200.
Mzee beiya juu mchele kwa sasa Mbeya ni 800 mpaka 1000
 
Back
Top Bottom