MmezidiNimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe (Halal meat) kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.
**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,
1. AFYA: Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis).
2. LUGHA na Kiwango cha Elimu: Awe anazungumza kiufasaha lugha ya Kiarabu na Kiingereza na uzoefu wa Masoko ya nchi za Kiarabu UAE, Qatar, Bahrain, Oman, Kuwait na KSA **Tuna Mpango wa kutanua biashara zetu nchi jirani (GCC) na UAE.
3. ELIMU: Bachelor of Commerce (B.Com) au Bachelor of Business Administration BBA) toka Chuo kinachotambulika. Kwa akili ya kutafuta Masoko zaidi nchi jirani Bahrain, Qatar na Kuwait.
4. Dini yoyote hatubagui.
Tunavyo Vibali vyote vya kusafirisha Nyama na Leseni ya Biashara Dubai, UAE
UPDATE 29/03/2025
**Mzigo wa kwanza umeingia Dubai tarehe 29/03 Alfajiri. Hapo pichani ni buchani Dubai (Nyama inakataa) kabla ya kufanya delivery FIVE LUXE Hotel Dubai.
Hongera sanaNimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe (Halal meat) kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.
**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,
1. AFYA: Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis).
2. UMAHIRI WA LUGHA: Awe anazungumza kiufasaha lugha ya Kiarabu na Kiingereza na uzoefu wa Masoko ya nchi za Kiarabu UAE, Qatar, Bahrain, Oman, Kuwait na KSA **Tuna Mpango wa kutanua biashara zetu nchi jirani (GCC) na UAE.
3. ELIMU: Bachelor of Commerce (B.Com) au Bachelor of Business Administration (BBA) toka Chuo kinachotambulika. Kwa ajili ya kutafuta Masoko zaidi nchi jirani Bahrain, Qatar na Kuwait.
4. Dini yoyote hatubagui.
Tunavyo Vibali vyote vya kusafirisha Nyama na Leseni ya Biashara Dubai, UAE
UPDATE 29/03/2025
**Mzigo wa kwanza umeingia Dubai tarehe 29/03 Alfajiri. Hapo buchani Dubai utapata na viungo vyote toka Tanzania( baada ya Nyama kukatwa) kabla ya kufanya delivery FIVE LUXE Hotel Dubai.
Unaumia nn?Hiyo picha umeweka ili iweje?
Sijaumia, nimetaka kufahamu hiyo ni picha ya Nyama/Bucha/Ofisi/Vibali ulivyonadi hapo juu?Unaumia nn?
Picha ya mifugo ikiingia DubaiSijaumia, nimetaka kufahamu hiyo ni picha ya Nyama/Bucha/Ofisi/Vibali ulivyonadi hapo juu?
TakbiirTumepatikana wawili, bado mmoja mpwa.
Si kamba, ni kweli.
Dubai wanaishi Waislam tu?Nguruwe sio halal meat ni Haram Kwa waislam,kuweni makini mtapgwa na kitu kizito