herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
kujitolea hakuna kikomo.Huyu kusaga nae anazeeka vibaya,,
Diamond amejitolea mpaka jengo lake litumike Kama dispensary ya corona,,
Au anataka kula hela tu huyu mshashi?
mods fungeni acount za watu kama hawa maana ndo wanailetea matatzo jfUPDATES ZA UHAKIKA!!! CORONAVIRUS TANZANIA
Mpaka leo , May 4, 2020 saa 8 (2: 00 AM)
Kesi: 6,836
Vifo: 542
Tatizo ungekuwa maarufu ungekubali kwa kua huna umaarufu ndio maana unasema ivyoHuyu anayepigia watu live wachangie hafai. Huko ni kuwaharibia kabisa ni kama kawalazimisha sababu ukiwa live Tanzania nzima inakusikia ni ngumu kukataa utaonekana mbaya. Sema hajakutana na watu kama mimi, unanipigia live nakukatia simu sipendi ujinga.
Diamond ashasema anatoa msaada kwa watu 50k sijui 500k wenye maisha ya chini. Bado wanazidi kumkaba, kama anataka kusaidia muacheni atasaidia akijisikia
Sihitaji umaarufu wenyewe, nipo very successful bila huo umaarufu, hamna haja ya kua kwenye spotlight. Jifunze kuandika sio kila kitu unaweka boldTatizo ungekuwa maarufu ungekubali kwa kua huna umaarufu ndio maana unasema ivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyeongea kwa uchungu nani?Hizi ni roho za kimaskini.Bahati nzuri mtu kama wewe huwezi kupigiwa na tajiri kama Kusaga.
Pia punguza hasira kwani Diamond ni nani yako hadi uongee kwa uchungu namna hii?Au we ndio mpenzi wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Millard ayo lazima aelewe kuwa chaneli yake inafuatiliwa na watu wengi na yeye chanzo cha kipato kupitia hiyo channel ni matangazo na habari mbalimbali hasa za celebrities,naamini kutokuelewana wao na diamond kunamuathiri sana,sema ndio hivyo atafanyaje sasa,habari na matukio mengi ya diamond huwa anapost kwa kujishtukia sana tena machache mno,katika wasanii wenye fanbase kubwa Tanzania basi Diamond ni mmojawapo, Millard lazima ajue biashara yake inategemea watu wa aina hiyo.Siamini kama Millard ayo ana bifu na diamond ila asiingize biashara yake na bifu za redio anayofanya kazi.naona hadi millard ayo kashaiweka youtube, hapa misikule wa mawingu watakua wanapumulia makalio(jokes)
Umaarufu haujifichi wewe, umasikini na Lockdown zimekuchanganya chapa kazi uheshimike lasivyo utaendelea kukosoa wenye maishaSihitaji umaarufu wenyewe, nipo very successful bila huo umaarufu, hamna haja ya kua kwenye spotlight. Jifunze kuandika sio kila kitu unaweka bold
Nyoko nina hela kuliko ukoo wenu mzima jinga kabisaUmaarufu haujifichi wewe, umasikini na Lockdown zimekuchanganya chapa kazi uheshimike lasivyo utaendelea kukosoa wenye maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
asa mond n tofaut na ww bcoz mondi ni celebrity yaan umaarufu n title yake iko kwa mashabiki lakn ww hata ukitukana no body cares kwa sababu hao wanaokusikia have nothng to do wit ur busness.Huyu anayepigia watu live wachangie hafai. Huko ni kuwaharibia kabisa ni kama kawalazimisha sababu ukiwa live Tanzania nzima inakusikia ni ngumu kukataa utaonekana mbaya. Sema hajakutana na watu kama mimi, unanipigia live nakukatia simu sipendi ujinga.
Diamond ashasema anatoa msaada kwa watu 50k sijui 500k wenye maisha ya chini. Bado wanazidi kumkaba, kama anataka kusaidia muacheni atasaidia akijisikia
ningekuwa mondi nawaambia pigeni wimbo wa "Baba Lao"Kumbe nyimbo zake zote wanazo kwenye maktaba yao, sema huwaga ni kiburi tu hawapigi. From business point of view Diamond was right, hawezi chagua wimbo mmoja ilihali ana nyimbo nyingi na selection ya wimbo wake ingezua maswali kadhaa.
sumu gani unahtaji za kuua viwavi au dudumizi?Duuh, ina maana sisi wakulima ndi hatupigiwi sumu??
Naisikia hapa Yope remix kwa mara ya kwanza inapigwa redio clouds fm
Aliyeongea kwa uchungu nani?
Hehe unadhani mi masikini kama wewe? au kwa kua nipo JF unahisi madoro?
Stupid, nina maisha mazuri mno na sihitaji kujulikana kwa vilaza wakae wanaombaomba daily.
Mpenzi wake bibi yako stupid