Kusaga ampigia simu Diamond Platnumz akiwa live Clouds FM

Kusaga ampigia simu Diamond Platnumz akiwa live Clouds FM

Huyu kusaga nae anazeeka vibaya,,
Diamond amejitolea mpaka jengo lake litumike Kama dispensary ya corona,,
Au anataka kula hela tu huyu mshashi?
kujitolea hakuna kikomo.
haijalishi umetoa sh ngapi/ umesaidia wangapi
 
Huyu anayepigia watu live wachangie hafai. Huko ni kuwaharibia kabisa ni kama kawalazimisha sababu ukiwa live Tanzania nzima inakusikia ni ngumu kukataa utaonekana mbaya. Sema hajakutana na watu kama mimi, unanipigia live nakukatia simu sipendi ujinga.

Diamond ashasema anatoa msaada kwa watu 50k sijui 500k wenye maisha ya chini. Bado wanazidi kumkaba, kama anataka kusaidia muacheni atasaidia akijisikia
Tatizo ungekuwa maarufu ungekubali kwa kua huna umaarufu ndio maana unasema ivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni roho za kimaskini.Bahati nzuri mtu kama wewe huwezi kupigiwa na tajiri kama Kusaga.

Pia punguza hasira kwani Diamond ni nani yako hadi uongee kwa uchungu namna hii?Au we ndio mpenzi wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyeongea kwa uchungu nani?
Hehe unadhani mi masikini kama wewe? au kwa kua nipo JF unahisi madoro?
Stupid, nina maisha mazuri mno na sihitaji kujulikana kwa vilaza wakae wanaombaomba daily.
Mpenzi wake bibi yako stupid
 
Duuh, ina maana sisi wakulima ndi hatupigiwi sumu??
 
naona hadi millard ayo kashaiweka youtube, hapa misikule wa mawingu watakua wanapumulia makalio(jokes)
Millard ayo lazima aelewe kuwa chaneli yake inafuatiliwa na watu wengi na yeye chanzo cha kipato kupitia hiyo channel ni matangazo na habari mbalimbali hasa za celebrities,naamini kutokuelewana wao na diamond kunamuathiri sana,sema ndio hivyo atafanyaje sasa,habari na matukio mengi ya diamond huwa anapost kwa kujishtukia sana tena machache mno,katika wasanii wenye fanbase kubwa Tanzania basi Diamond ni mmojawapo, Millard lazima ajue biashara yake inategemea watu wa aina hiyo.Siamini kama Millard ayo ana bifu na diamond ila asiingize biashara yake na bifu za redio anayofanya kazi.
 
Sihitaji umaarufu wenyewe, nipo very successful bila huo umaarufu, hamna haja ya kua kwenye spotlight. Jifunze kuandika sio kila kitu unaweka bold
Umaarufu haujifichi wewe, umasikini na Lockdown zimekuchanganya chapa kazi uheshimike lasivyo utaendelea kukosoa wenye maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo movie na script ilishaandaliwa...naona Kusaga anataka wale wote waliokuwa na tofauti na CMG wanapatana kama vile Jide siku hizi nyimbo zake zinapigwa
 
Huyu anayepigia watu live wachangie hafai. Huko ni kuwaharibia kabisa ni kama kawalazimisha sababu ukiwa live Tanzania nzima inakusikia ni ngumu kukataa utaonekana mbaya. Sema hajakutana na watu kama mimi, unanipigia live nakukatia simu sipendi ujinga.

Diamond ashasema anatoa msaada kwa watu 50k sijui 500k wenye maisha ya chini. Bado wanazidi kumkaba, kama anataka kusaidia muacheni atasaidia akijisikia
asa mond n tofaut na ww bcoz mondi ni celebrity yaan umaarufu n title yake iko kwa mashabiki lakn ww hata ukitukana no body cares kwa sababu hao wanaokusikia have nothng to do wit ur busness.

lakn mond akikata smu au kutukana tayar ataonekana mbaya by the way kapokea smu alikuwa hajui analetewa ujumbe gan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe nyimbo zake zote wanazo kwenye maktaba yao, sema huwaga ni kiburi tu hawapigi. From business point of view Diamond was right, hawezi chagua wimbo mmoja ilihali ana nyimbo nyingi na selection ya wimbo wake ingezua maswali kadhaa.
ningekuwa mondi nawaambia pigeni wimbo wa "Baba Lao"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo michango wanachangia corona kweli au ccm......... Wasije wakala km za tetemeko bukoba...... Hatujasahau
 
Aliyeongea kwa uchungu nani?
Hehe unadhani mi masikini kama wewe? au kwa kua nipo JF unahisi madoro?
Stupid, nina maisha mazuri mno na sihitaji kujulikana kwa vilaza wakae wanaombaomba daily.
Mpenzi wake bibi yako stupid

Kusema ukweli humu JF kuna watu wakubwa sana na wenye pesa zao , sema hizi ID zinatufanya kila mtu tumuone wa hivi hivi , lol

Sio kila mtu omba omba kama akina warumi , wengine wana pesa chafu

Kuna danga nilienda kukutana nalo humu JF , nikashangaa mtu kapaki X6 no D, wacha matako yaanze kucheza warumi mie [emoji16][emoji16], inshort kuna watu humu sio wa kuwachukulia poa kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom