Kiukweli nashangaa@ Joe ndia CEO clouds media ambao kwa sasa hawapigi nyimbo 100% from WCB hata zile za ft..
Hii inaonyesha namna gani picha haziendi kabisa..
Joe kuonekana pale hii inaonyesha hakuna tatizo kati yao..unaweza ukasema Joe kaenda km rafiki au fans bt huwezi kumtenganisha Joe na clouds popote alipo.
Swali la msingi ye kama bosi anashindwaje kutoa maelekezo kwa walio chini yake wapige ngoma za WCB?
Sa wangekua wanapiga ungeanzishaje huu Uzi?!Mbinu ya aina gani hiyo mkuu,fafanua
Kwa hiyo kila kitu lazima wakisimulie. Fanyeni kazi acheni kufuatilia maisha ya watu.Walipatana lini?
Ebu eka kapicha Joe akiwa TandaleWe hujui km mwenyewe anajiita Joe? Then jadili hoja ndugu ..sio unakuwa mpinzani kila mda
Kiukweli nashangaa@ Joe ndia CEO clouds media ambao kwa sasa hawapigi nyimbo 100% from WCB hata zile za ft..
Hii inaonyesha namna gani picha haziendi kabisa..
Joe kuonekana pale hii inaonyesha hakuna tatizo kati yao..unaweza ukasema Joe kaenda km rafiki au fans bt huwezi kumtenganisha Joe na clouds popote alipo.
Swali la msingi ye kama bosi anashindwaje kutoa maelekezo kwa walio chini yake wapige ngoma za WCB?
Imagine nyie familia yenu mna duka moja kubwa la vifaa vya ujenzi, baada ya kuona biashara ina competitor wengi ...na kuthreat ur business, mnamua kucreate attention kwa wateja wenu kwa kutangaza mgogoro wenyewe ndani ya familia yenu. Mnamua kugawana vitu..mpaka hapo watu watataka kujua yupi kaonewa ? Kwenye kutaka kujua kuna vitu viwili hutegemea kutokea 1 mtakaa sana kwenye haedline za watu, kimasoko huitwa positioning mana segmentation na targeting inakuwa tayari.2 walio kuwa threat wenu husaulika tena ile move yao. Kwa hiyo mtakuwa mnazungumziwa nyie kama rivals kumbe still behind curtain mpo pamoja. Impact yake 1 mtapata sided Customers ambao watajivika u royal kuhakikisha upande wao haupotei, 2 mtapata new Customers jins upepo unavyovuma, 3 some time hata waliokuwa threat wenu wanaanza kuwazungumzia nyie kwenye biashara zao 4 productions whom shall start to collapse itaongeza sales volume to each side 5 creativity na innovations itaongezeka zaidi kwenye product zenu!!!!!!!!!!!! Watu wana akili sana hasa watu wa masoko .................!!!Mbinu ya aina gani hiyo mkuu,fafanua
Sio Tandale tu hata kwenye party huko baharini yupo,wenyewe watoto wa Daslam sijui mnaitaga Yachi partyEbu eka kapicha Joe akiwa Tandale
Hapo kwenye English sijaelewaImagine nyie familia yenu mna duka moja kubwa la vifaa vya ujenzi, baada ya kuona biashara ina competitor wengi ...na kuthreat ur business, mnamua kucreate attention kwa wateja wenu kwa kutangaza mgogoro wenyewe ndani ya familia yenu. Mnamua kugawana vitu..mpaka hapo watu watataka kujua yupi kaonewa ? Kwenye kutaka kujua kuna vitu viwili hutegemea kutokea 1 mtakaa sana kwenye haedline za watu, kimasoko huitwa positioning mana segmentation na targeting inakuwa tayari.2 walio kuwa threat wenu husaulika tena ile move yao. Kwa hiyo mtakuwa mnazungumziwa nyie kama rivals kumbe still behind curtain mpo pamoja. Impact yake 1 mtapata sided Customers ambao watajivika u royal kuhakikisha upande wao haupotei, 2 mtapata new Customers jins upepo unavyovuma, 3 some time hata waliokuwa threat wenu wanaanza kuwazungumzia nyie kwenye biashara zao 4 productions whom shall start to collapse itaongeza sales volume to each side 5 creativity na innovations itaongezeka zaidi kwenye product zenu!!!!!!!!!!!! Watu wana akili sana hasa watu wa masoko .................!!!
We hujui km mwenyewe anajiita Joe? Then jadili hoja ndugu ..sio unakuwa mpinzani kila mda