IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Kiukweli nashangaa Joe ndio CEO Clouds Media Group ambao kwa sasa hawapigi nyimbo 100% from WCB hata zile za ft..
Hii inaonyesha namna gani picha haziendi kabisa.
Joe kuonekana pale hii inaonyesha hakuna tatizo kati yao..unaweza ukasema Joe kaenda kama rafiki au fans but huwezi kumtenganisha Joe na Clouds popote alipo.
Swali la msingi ye kama bosi anashindwaje kutoa maelekezo kwa walio chini yake wapige ngoma za WCB?