Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
Una busara na huruma.Big upSorry
R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una busara na huruma.Big upSorry
R.I.P
Aaah kazi kweli kweliWewe shoga hebu katafute basha Instargram huko.
Joseph ni Joe hiki siyo kifupishe bwege wewe.
Robert ni Bob hiki siyo kifupisho kama cha Rosemary ukamuita Rose.
Fala kabisa ungekuwa karibu ningekuzamisha dole la kati.
Kwa kweliiiiNimeshangaa hata mimi...duh
Mimi ni mwanamke na ni mama pia.Una busara na huruma.Big up
Mmesahau kwamba Mange huyo huyo cku za nyuma aliwaambia Wasafi Media ni yca Makonda kama ambavyo aliwahi kuwaambia nyumba ya South Africa sio ya Diamond huku wakati fulani akisema Zuleikha ni mtoto wa Zarina hadi alipokuja kuumbuliwa na pics za Zuleikha na Zari wakati wakiwa wadogo!!Dooh kumbe! Kuna haja ya kumwamini mange sasa.
Mzee umekalili madesa ya Saut na umeyamwaga kama yalivyo duuu!!!Imagine nyie familia yenu mna duka moja kubwa la vifaa vya ujenzi, baada ya kuona biashara ina competitor wengi ...na kuthreat ur business, mnamua kucreate attention kwa wateja wenu kwa kutangaza mgogoro wenyewe ndani ya familia yenu. Mnamua kugawana vitu..mpaka hapo watu watataka kujua yupi kaonewa ? Kwenye kutaka kujua kuna vitu viwili hutegemea kutokea 1 mtakaa sana kwenye haedline za watu, kimasoko huitwa positioning mana segmentation na targeting inakuwa tayari.2 walio kuwa threat wenu husaulika tena ile move yao. Kwa hiyo mtakuwa mnazungumziwa nyie kama rivals kumbe still behind curtain mpo pamoja. Impact yake 1 mtapata sided Customers ambao watajivika u royal kuhakikisha upande wao haupotei, 2 mtapata new Customers jins upepo unavyovuma, 3 some time hata waliokuwa threat wenu wanaanza kuwazungumzia nyie kwenye biashara zao 4 productions whom shall start to collapse itaongeza sales volume to each side 5 creativity na innovations itaongezeka zaidi kwenye product zenu!!!!!!!!!!!! Watu wana akili sana hasa watu wa masoko .................!!!
Clouds ni ya familia ya Kusaga. Ruge aliingizwa pale na mmoja wa wanafamilia hiyo aliyefariki ... South...miaka ileeeNa wasiwasi na nani mmiliki wa Clouds Media group.Wanasema ni ya familia ya Kusaga.Mi nakataa hapo.It seems Ruge ni mkubwa kuliko Kusaga.
Ruge ni zaidi ya mkurugenzi wa vipindi pale.Angekuwa muajiriwa.Angelishatimuliwa.
Kusaga anamuogopa Ruge.I don't know why?
Bwana wewe kwani vipi mbona kumpanick sana?JF ina watu was3ng3 sana tena sana,juzi kagawa bima kwa watu 1000,mitaji,pikipik na bajaji ila hata kumpongeza kinafiki mmeshindwa,hata kulike ule uzi mmeshindwa,leo mmejaza uzi kwa kumkandia kisa Yachi Pati....mammaae walah mna chuki za kifa.la sana
Yaani unaambia watu kama hawafahamu huku ukitaka kuaminisha watu kwamba ni mtu wa data wakati source yako ni Mange Kimambi! Kama nadanganya source yako sio Mange Kimambi, weka hapa source yako!Joseph kussaga ni mmiliki wa wasafi TV kama haufahamu Daimond ni geresha tu kama watu walivyodhani alikua mmiliki wa daimond karanga.
kwanza mi sisomi saut wala sijui, itakuwa watu walivyo like sana hii post imekuuma sana ... lakini nikuhakikishie uelewa wangu ni mkubwa zaidi ya unavyofikiri , kwan ni wangapi walisoma taaluma mbalimbali lkn hawezi kueleza kitu? Go and reverse to My principle post and comments utajua nini namanisha kuhusu kuelewa vitu..!!!! Always I extend My knowledge at the horizon through accessing varities of articles,journals and novels and not "madesa" like you short sighted anticipate..!!Mzee umekalili madesa ya Saut na umeyamwaga kama yalivyo duuu!!!
Huyu Diamond wakati mwingine huwa simuelewi, yaani kilakitu anachotuaminisha anamiliki later inaonekana sio chake. Aangalie asije kuwa na mwisho mbaya, maana kwa pesa aliyoitengeneza kwenye sanàa ilipaswa awe walau na investment yake moja ya uhakika ya kumtunza nyota yake ya muziki itapofifia na si kudandia dandia tudaaaahh hizi tetesi nilikuwa na zipuuzia lakini huu ni wakati wakuzipokea sasa " maana hata hiyo boat ni ya kusaga
ni hatari sana mkuu " tatizo ana tumia gharama nyingi sana " kwaajili ya kufanya show off ".. imagine kila mwaka anafanya birthday party .. iwe ya watoto wake /ya kwake au ya members wa kampuni yao " anajikuta anatumia pesa nyingi mnoo " awe makini kwakweli yasije yakamkuta yale ya mc hummerHuyu Diamond wakati mwingine huwa simuelewi, yaani kilakitu anachotuaminisha anamiliki later inaonekana sio chake. Aangalie asije kuwa na mwisho mbaya, maana kwa pesa aliyoitengeneza kwenye sanàa ilipaswa awe walau na investment yake moja ya uhakika ya kumtunza nyota yake ya muziki itapofifia na si kudandia dandia tu