Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dooh kumbe! Kuna haja ya kumwamini mange sasa.daaaahh hizi tetesi nilikuwa na zipuuzia lakini huu ni wakati wakuzipokea sasa " maana hata hiyo boat ni ya kusaga
It legal assumption tooOwner and The Business Entity are two separate things!.
Economic Assumption.
Siyo Joe ni "Jo" kifupi cha Joseph!... Joe ni jina lingine kabisa ndo maana jamaa kakuuliza!We hujui km mwenyewe anajiita Joe? Then jadili hoja ndugu ..sio unakuwa mpinzani kila mda
kama humjui mtu vizuri sidhani kama ni busara kumzungumzia bila ya kumpa nafasi ya kujiteteaNaye ni mchafu?Sijui personal life yake,naongelea status yake na umri wake mbele ya jamii!
Kama ana mambo ya kifuska,hayo sijawahi kuyaona kwenye media,ila hili la jana limeonekana
Nazungumzia kilichoonekana kwenye mediakama humjui mtu vizuri sidhani kama ni busara kumzungumzia bila ya kumpa nafasi ya kujitetea
umeona nini huko kwenye media?Nazungumzia kilichoonekana kwenye media
Daaah,unanipa kazi!Basi bhanaumeona nini huko kwenye media?
😂😂hata mimi sijaelewa hoja yakeHuu Uzi unasaidia nn kibiashara?
Ndio raha ya mijadala usiwe mvivu mkuu,dondosha tu material tueleweshaneDaaah,unanipa kazi!Basi bhana
Nimeshaandika huko juu,niliandika uzi ukwa merged na huu!Ndio raha ya mijadala usiwe mvivu mkuu,dondosha tu material tueleweshane
Mbona huwa anaongea mambo mengi ambayo ni kweli", ijapokuwa kuna mengine ambayo huwa ni uzushiDooh kumbe! Kuna haja ya kumwamini mange sasa.
Wasafi na CMG tunawalinganisha katika nyanja ya kiburudani zaidi na in terms of control ya muziki bongo,so huwezi linganisha wasafi na azam au star tv na hata ITV.
Inasemekana WCB ni ya KUSAGA na DIAMOND, kwahyo kuipandisha juu WASAFI wakatengeneza Kiki ya WCB kutopewa nafasi Clouds...Kiukweli nashangaa@ Joe ndia CEO clouds media ambao kwa sasa hawapigi nyimbo 100% from WCB hata zile za ft..
Hii inaonyesha namna gani picha haziendi kabisa..
Joe kuonekana pale hii inaonyesha hakuna tatizo kati yao..unaweza ukasema Joe kaenda km rafiki au fans bt huwezi kumtenganisha Joe na clouds popote alipo.
Swali la msingi ye kama bosi anashindwaje kutoa maelekezo kwa walio chini yake wapige ngoma za WCB?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana akili sana ya kibiashara kuliko Joe?! Au ulitaka umuone Joe nae akihangaika na ma-Fiesta ndipo uone nae ana akili ya kibiashara?!
Nimeshangaa hata mimi...duhAliyeturoga kafa.
Mtu kauliza vizuri na samahani juu ila bado umempa tusi.
Kweli ukubwa wa mwili sio wa akili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi asilimia umetoa wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia Joe mjulubeng wake umepinda kwa mujibu wa Mange