pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Hizi asilimia umetoa wapi?Ana asilimia 9 tu kati ya 100 je nani mmiliki kati kati ya 9% na 91%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi asilimia umetoa wapi?Ana asilimia 9 tu kati ya 100 je nani mmiliki kati kati ya 9% na 91%
Yaani na utuuzima wake wote na heshima aliyo nayo kafungamana na hayo makando kando .. Ama kweli dar uzee mwisho chalinzeKusaga naye ni kwishney kabisa walahi
Rudi kule juu.Hebu achana hizo mambo Madam please!
Tusiwaingize wazazi bhana!
Mkuu asante sana kutudurushishaImagine nyie familia yenu mna duka moja kubwa la vifaa vya ujenzi, baada ya kuona biashara ina competitor wengi ...na kuthreat ur business, mnamua kucreate attention kwa wateja wenu kwa kutangaza mgogoro wenyewe ndani ya familia yenu. Mnamua kugawana vitu..mpaka hapo watu watataka kujua yupi kaonewa ? Kwenye kutaka kujua kuna vitu viwili hutegemea kutokea 1 mtakaa sana kwenye haedline za watu, kimasoko huitwa positioning mana segmentation na targeting inakuwa tayari.2 walio kuwa threat wenu husaulika tena ile move yao. Kwa hiyo mtakuwa mnazungumziwa nyie kama rivals kumbe still behind curtain mpo pamoja. Impact yake 1 mtapata sided Customers ambao watajivika u royal kuhakikisha upande wao haupotei, 2 mtapata new Customers jins upepo unavyovuma, 3 some time hata waliokuwa threat wenu wanaanza kuwazungumzia nyie kwenye biashara zao 4 productions whom shall start to collapse itaongeza sales volume to each side 5 creativity na innovations itaongezeka zaidi kwenye product zenu!!!!!!!!!!!! Watu wana akili sana hasa watu wa masoko .................!!!
Ni kweli ila...Rudi kule juu.
Wapo nilipompa neno la kashfa?
Kutaka amjibu mtu vizuri ndo anaiite mie malaya
Nami ndo mana nikarudisha mpira kwa kipa.
Sababu hata mama yake ni mwanamke kama mimi
Nami naondoka.Ni kweli ila...
Anyway pamoja sana Madam ......kama atarudi nawatakia mpambano mwema!
Afadhali ....Maana mnakoelekea sio kuzuri kwa kweli!Nami naondoka.
Sitaki vurugu
Usimtag bhana.Afadhali ....Maana mnakoelekea sio kuzuri kwa kweli!
Ngoja nimwambie shem Mung ...akunyang'anye simu mpaka nyongo itakate kwanza [emoji23] [emoji23]
Ushamba ni wewe kusubiria utafutiwe dawa ya ukimwi.Acha upuuzi,hebu pekenyua uweke video hapa Diddy anafanya ufuska na dada yake,au beyonce na kaka yake,au kqnye na dada yake!
Halafu tofautisha party na na behind the scene ya kazi!
Huu ni ushamba,unashangilia dada yako anakata viuono na chupi lililolowa,shame!
Mbona wewe hujaitwa limbukeni kutumia simu, computer, gari hii gadhabu ya umaskini ya wivu mbaya sanaTatizo ulimbukeni
Jifunze kupangilia hoja zako na uandishi pia .Inahitaji uelewa wa hali ya juu kuujua ukweli wa uwekezaji mkubwa pale wasafi media&recording label,je ni D'mond pekee na wenzie team WCB? kama sio yeye pekee dimond na WCB wenzie ,je ni nani yuko behind ya uwekezaji huo in pertinership?je ni tajiri gani ambaye yuko close na WCB Wasafi ambaye tunaweza kuona anahusika directly na uwekezaji pale usafini?kwa upande wangu na kwa kutumia darubini kali kabisa huyu wa kujiita #joe CMG C.E.O ametia mkono wake pale Wasafi empire,by any Means ni Kama kajishikiza wasafi bcoz inaonekana hana nguvu tena pale mawinguni [emoji739] #mr. RM,na hii ni kutokana na mgawanyo wa hisa pale CMG Kati ya hizo beberu mbili,kuna Anae endesha kampuni na yuko close na worker's na ni mtu wa mipango na Joe yeye ni kusikiliza tu kilichofanyika na kuvuta chake anapotaka,sasa amekuja kujishitukia hana sauti tena pale,so anatafuta pa Kutokea,na bcoz wasafi ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1241][emoji3495][emoji290] aka take opportunity ili together na team WCB under D'mond wa create Biggest&strong empire,ili Wakachukue ufalme wa music bongo,media(in intertainment only) ,shows na adivertsment.kwa hali ilivyo pale CMG hawezi hata kuwatetea WCB au kupatanisha ili song's za WCB ziruke pale pale CMG,mwenye sauti ni yule @Mhaya,kwaio Joe ni Kama anamkomoa (refer D'mond yatch party yesterday,alikuwa kwenye attendance) au anamuonyesha RM Kuwa anaweza ku rise empire kubwa zaidi ya CMG,na naona anaelekea kufaulu na kuua kiburi cha mhaya na CMG Kiujumla,na naona Kama taratibu CMG wanakubali kuwa WCB empire ni [emoji91][emoji91][emoji91]. Note. Ni maoni yangu tuko tofauti kimtizamo,Welcome,am a new comer to the forum,be calm please.
Joseph kussaga ni mmiliki wa wasafi TV kama haufahamu Daimond ni geresha tu kama watu walivyodhani alikua mmiliki wa daimond karanga.Kiukweli nashangaa@ Joe ndia CEO clouds media ambao kwa sasa hawapigi nyimbo 100% from WCB hata zile za ft..
Hii inaonyesha namna gani picha haziendi kabisa..
Joe kuonekana pale hii inaonyesha hakuna tatizo kati yao..unaweza ukasema Joe kaenda km rafiki au fans bt huwezi kumtenganisha Joe na clouds popote alipo.
Swali la msingi ye kama bosi anashindwaje kutoa maelekezo kwa walio chini yake wapige ngoma za WCB?
Uwezo wako wa kufikiri mdogo sana,unachamganya utandawazi na ulimbukeni!Kajifunze maana hizo mbili ndio urudi hapaMbona wewe hujaitwa limbukeni kutumia simu, computer, gari hii gadhabu ya umaskini ya wivu mbaya sana
tofautisha scene za kazi na hii ya kula bataUshamba ni wewe kusubiria utafutiwe dawa ya ukimwi.
Back in topic wamarekani wanautamaduni wao ambao umekwishatuingia beyonce ashafanya upumbavu wote kamaliza ingia kwenye tovuti ya TMZ tafuta uone tailor swift kashoot mpaka video bongo ni mkaa uchi na anapicha za utupu za magazine usiwe mbishi utaolewa ooooohooo
Alisema hayo!Alisema hivi kweli mbele ya kadamnasi "!!! ? kweli mwisho wao utakuwa mbaya
Kweli wabongo wape picha tu inatoshaKiukweli nashangaa@ Joe ndia CEO clouds media ambao kwa sasa hawapigi nyimbo 100% from WCB hata zile za ft..
Hii inaonyesha namna gani picha haziendi kabisa..
Joe kuonekana pale hii inaonyesha hakuna tatizo kati yao..unaweza ukasema Joe kaenda km rafiki au fans bt huwezi kumtenganisha Joe na clouds popote alipo.
Swali la msingi ye kama bosi anashindwaje kutoa maelekezo kwa walio chini yake wapige ngoma za WCB?
Hahahahaaaa,unashabikia ujinga!Tena hizo gharama nitalipia mimi,njoo na dada yako tukafanye party beach,aje na chupi kutukatikia vidume huku ukiangalia!Ukifaulu hilo nitajuwa kweli unamaanisha unachokitetea!Naomba nikuache maana uelewa wako ni wakibojo huna likuingialo