Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh aisee
Eeeh waah vitu kama hivi
Thanks alot Mkuu.Karibu sana JF.
Guge hana kitu pale acha kuangaika na maneno ya mtaanMbona sasa hashindwe kuwatetea WCB ili song's zao zichezwe pale CMG.Ruge kapiga pini.
Hahaha ni shda humu Ndani.Asee watu wanabishana humu hadi wengine wanazimia, kuna mtu nimempita wanampepea huku kashika smartphone me itakua alikua humu kwenye mjadala.
Amekaa vyema sana hapo kati a see huyu unamtafuna bila step hadi hapo mahala anapopalalamikia Madame B pawe mbilikimo.Eeeh waah vitu kama hivi
Kuna watu wanaanzisha biashara kwa mgongo wa kampuni nyingine inayofanya vizuri kwa lengo la kukiki fasta.Unataka kusema wameanzisha redio Dom na hawaimiliki?
Baba wa Joe aliwekeza ktk CMG.Alipofariki mirathi imeifanya CMG kuwa mali ya family hivyo Joe ana sauti tena kama zamani na anasubiri gawio la hisa ,so Joe akaamua kujiongeza kwa kuinvest kivyake vyake! Ruge ni Mwajiriwa wa CMG na sio shareholder.
Kwaio familia ya kusaga ndio wanaugomvi na wasafi na ndio waliopiga pini song's za wasafi na c ruge? Je Kama ni wao hawaoni impact ya hatua hiyo katika business au malengo yao ya kucontrol muziki wa bongo, maana wasafi ndio kila kitu kwenye social media na Mitaani,na ukiwatenga lazima kuna kitu utapungukiwa Kama kampuni ya kiburudani.CMG ni mali ya familia ya akina Kusaga bro.
Baba wa Joe aliwekeza ktk CMG.Alipofariki mirathi imeifanya CMG kuwa mali ya family hivyo Joe ana sauti tena kama zamani na anasubiri gawio la hisa ,so Joe akaamua kujiongeza kwa kuinvest kivyake vyake! Ruge ni Mwajiriwa wa CMG na sio shareholder.
Kaka kusaga ndio mmiliki wa hiyo WCB asikudanganye mtu diamond ni Ceremonial leader tuKiukweli nashangaa@ Joe ndia CEO clouds media ambao kwa sasa hawapigi nyimbo 100% from WCB hata zile za ft..
Hii inaonyesha namna gani picha haziendi kabisa..
Joe kuonekana pale hii inaonyesha hakuna tatizo kati yao..unaweza ukasema Joe kaenda km rafiki au fans bt huwezi kumtenganisha Joe na clouds popote alipo.
Swali la msingi ye kama bosi anashindwaje kutoa maelekezo kwa walio chini yake wapige ngoma za WCB?
Kaka kusaga ndio mmiliki wa hiyo WCB asikudanganye mtu diamond ni Ceremonial leader tu
Wabongo barna,diamond Karanga ni kampuni ya wahindiWote wafanyabiashara wanakunana Migongo
Diamond ana ubia na kusaga kwenye Diamond karanga
Ana asilimia 9 tu kati ya 100 je nani mmiliki kati kati ya 9% na 91%diamond ni share holder pia..... sio mpuuzi yule mtoto wa tandale.. ndio maana hajasoma ila anatotoboa kuliko wasomi